Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo...
Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita
Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi...
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuanzisha operesheni mpya katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, baada ya kugundua kuwa wapiganaji wa Hamas wamerudi eneo hilo.
IDF...
Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala
Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi...
🌟 Wadau, tujadili! 🌟
Mwaka 2024 unakaribia kufika mwisho, na bila shaka kila mmoja wetu ana kumbukumbu ambazo zimeacha alama isiyofutika.
Je, ni tukio gani kubwa, la kusisimua, au la kuumiza...
Shalom Wana WA Mungu alie hai
Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio
Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka
Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu...
Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna...
NJOO VIZURI
Kuna bwana mmoja aliniijia akanikuta mahali napata moja ya baridi,wenyewe husema kuchamba koo....
Sasa yule bwana akanishambulia kwa maneno unakunywa pombe ni dhambi,
Nikatulia...
Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya...
Nimejaribu kutafuta huduma kutoka kwa credit info Tanzania hii ni wiki ya pili sasa, nilijaza form kwenye website yao ili kuomba kupatiwa loan report mpaka sasa sijapata majibu, namba ya simu...
Nipo njiani naelekea Kampala. Ninatamani niweze kuwa na uwezo wa kutumia Internet hata nikiwa huko, lakini kwa kutumia line yangu ya simu.
Nimejaribu kutafuta huduma ya ROAMING (ZURU KIMATIAFA)...
MY STORY; NILIMFUKUZISHA MUME WANGU KAZI SASA KANITELEKEZEA WATOTO!
Sikua na shida yoyote na mume wangu, alikua ni Baba wa familia anayejali kwa kila kitu. Lakini nilikua si ridhiki, kila...
Nipo Kampala, lakini huenda nikahitaji kufika Rwanda na Burundi.
Naomba taarifa za hivi karibuni juu ya:
1. Hali ya hizo nchi kiusalama (Rwanda na Burundi)
2. Gesti za bei nafuu lakini salama...
Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu...
Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo.
1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.