Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuanzisha operesheni mpya katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, baada ya kugundua kuwa wapiganaji wa Hamas wamerudi eneo hilo.
IDF ilieleza kuwa hospitali hiyo imekuwa ngome kuu ya wanamgambo wa Hamas na imetumika kwa shughuli zao tangu kuanza kwa vita.
Kabla ya operesheni hiyo, IDF ilihakikisha usalama wa raia, wagonjwa, na wahudumu wa afya kwa kuwahamisha kwenda hospitali nyingine kwa ushirikiano na maafisa wa afya wa Gaza na mashirika ya kimataifa.
Tangu asubuhi ya Ijumaa, Kikosi cha 401 cha Magari ya Kivita kimeendesha operesheni maalum katika eneo hilo, likilenga kupunguza madhara kwa raia na wahusika wasiohusika.
My take:
IDF wanasema hospitali hiyo ni strong hold ya Hamas!
Mfano, Unawaambia Wagonjwa wote Muhimbili muondoke mwende Jangwani short of that nitawateketeza humo hospitalini
====================
The Israel Defense Forces said Friday that its forces had launched a new operation at Kamal Adwan Hospital in northern Gaza after identifying that Hamas operatives had returned to the area.
“The Kamal Adwan Hospital serves as a Hamas terrorist stronghold in northern Gaza, from which terrorists have been operating throughout the war,” the statement said.
The IDF, which last operated against Hamas at the hospital in October, said the facility had “once again become a key stronghold for terrorist organizations and continues to be used as a hideout for terrorist operatives.”
The IDF said it “facilitated the secure evacuation of civilians, patients, and medical personnel prior to the operation” to mitigate civilian harm.
The civilians were taken to other hospitals in Gaza in an effort coordinated by the Defense Ministry’s Coordinator of Government Activities in the Territories (COGAT) with local health officials and international organizations, the military said.