Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na...
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani. Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule...
3 Reactions
2 Replies
445 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wathamini nchini kupunguza migogoro inayotokana na uthamini kwa kuhakikisha thamani halisi ya ardhi inayofanyiwa...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi, Kuna uzembe na rushwa sana 1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Unajua ukishajua maana halisi ya elimu hauwezi kuja humu una babwaja babwaja. Sasa ndio elimu gani hio eti ufaulu wa a teengaer utegemee akili special na extra ordinary. Ndio maana unakuta...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Je, ninaweza kurithi silaha kutoka kwa mzazi wangu marehemu?
1 Reactions
10 Replies
458 Views
Ndugu zangu nawashauri kuwa makini sana na kupenda kwenda hospitali kwanza kama unashida ya kiafya ambayo unahisi ukianzia duka la dawa hutopata matibabu sahihi. Hiyo picha ni picha ya majibu ya...
6 Reactions
14 Replies
930 Views
Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa Tukisoma kitabu Cha mwanzo biblia inatuambia Isaka akiwa katika nchi ya wafilisti gerari huko alipanda mbegu kila kilo moja ya mbegu aliyoipanda alipata kilo mia za mavuno...
0 Reactions
7 Replies
777 Views
Wadau, baada ya Sekseke ya online platforms kutoa mikopo na kua za kudhalilisha watu ,Benki Kuu iliinglia kaylti na kuweka mwongozo na kufungia platforms ambazo haizkuwa zimesajiliwa. Je, Kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijui tunaelekea wapi kwa foleni kali namna hii, hivi kweli unakaa foleni lisaa lizima bila kusogea hata hatua moja?! Kwanini serikali haijatangaza state of emergency mpaka dakika hii?!! Hii ni...
10 Reactions
123 Replies
12K Views
matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo. Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu. Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi...
6 Reactions
154 Replies
5K Views
Nimezunguka maeneo mengi ya Dar es salaam kwa mtizamo wangu ni haukufanyiwa planning! Stendi za daladala vimetengenezewa msongamano mkubwa mno na kelele nyingi saana zisizokuwa na tija. Mfano...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Salaam, Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wanaJf, Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii NI Kwa Watibeli wote. Wenye HAKI na kupenda Haki, wenye Upendo na kuupenda huo upendo, wenye Kweli na kupenda yaliyokweli, wenye Akili na kupenda maarifa na...
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari wakuu, Picha hapo juu inajieleza, Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima. Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Back
Top Bottom