Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au...
3 Reactions
11 Replies
856 Views
Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na...
57 Reactions
313 Replies
13K Views
Ilikuwa majira ya saa Tatu asubuhi ndani ya NMB KAHAMA BUSINESS CENTER. Nilienda kudepost pesa zangu za mazao ghafra nikaona dogo mwenye umri usiozidi miaka 21 anaingia nabegi la roller anasukuma...
23 Reactions
55 Replies
3K Views
Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori...
2 Reactions
13 Replies
713 Views
Wadau hamjamboni nyote? naomba majibu huko wilaya ya temeke Hali ikoje matokeo shule ya upili?
1 Reactions
1 Replies
229 Views
Musa Solela Ngasa (40), mkazi wa Kijiji cha Nhobola, Kata ya Talaga, Wilaya ya Kishapu, Mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa ubavuni na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
391 Views
https://www.facebook.com/share/v/1NYgdVfz65/ Video ina ogopesha USSR
1 Reactions
12 Replies
605 Views
Naendelea kuwakumbusha tuu Tajiri Bill Gate alishindwana na Mke Wake. Putin alishindwana na Mke wake Na huu mwaka huenda kishindo kikawa Kwa bwana Obama. Na vile hana Watoto hata wa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha.. Tuzungumze kiuhalisia umejikuta una kiasi cha Bilioni kadhaa kama 3 ama 4..utakifanyia nini kikuletee...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Wadogo zangu ambao ni fresh graduates mnaokaribia kuanza kazi au mpo kazini ila ni wachanga hapo ofisini, kamwe usimuibie boss wako. Hiyo ni laana. Kama unaona mshahara pamoja na bonuses zingine...
16 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake? Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Mwili wa Mfanyabiashara aliyeripotiwa kupotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, umekutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanyamala huku Uongozi wa Hospitali hiyo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tarehe 06.10.2024 saa 10:00 (usiku) maeneo ya bar inayojulikana Kitambaa Cheupe, njia panda Nzasa, askari namba J.3297 PC. Barnaba Andrea Mhonya (30 yrs) mkazi wa Chamazi na askari wa Jeshi la...
23 Reactions
176 Replies
18K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na...
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Tulikua watu makini kama wa 4-5 ama 6 sikumbuki vizuri... (waandamizi wa jambo flani, sijui ni jambo gani ila ni kama jambo la maana sana) Tulikua tunakatiza mitaa fulani usiku huko kijijini...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Parable 02|15-16/24| Katika mazingira yakudadisi au kulichambua jambo fulani( ni kama tulikua tuna fuatilia kanuni/taratibu/sheria/sera flani flani) . Sehemu ile tulikua watu zaidi ya wawili...
0 Reactions
2 Replies
301 Views
awali ya yote niwapongeze Sana TRC kwa kukarabati treni zile za zamani hasa kwa upande wa mabehewa. Mimi nasafiri Sana na hizi treni zote ,yaani deluxe na ordinary. Treni ya ordinary ambayo ndiyo...
1 Reactions
0 Replies
551 Views
Nimeamua tu kuwashirikisha baada ya kuombwa ushauri, kwa upande wangu ni sahihi kabisa na wala sina hofu kabisa juu ya hilo. Jamaa mambo yamembana sana hana kazi kwa sasa, kifupi ameyumba sana...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kama watumishi wote wa ummah na wafanya biashara watarudisha watoto wao kwenye shule za Ummah I will be the last to do so.... licha ya kujifunza lugha ya kiingereza, ila mimi kama mzazi msomi...
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi. Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu...
9 Reactions
68 Replies
6K Views
Back
Top Bottom