Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi. Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
𝐉𝐄! 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 𝟐𝟎𝟐𝟓 𝐍𝐀𝐘𝐄 𝐀𝐓𝐀𝐕𝐀𝐋𝐈𝐀 𝐍𝐉𝐔𝐆𝐀 𝐔𝐓𝐄𝐊𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐍𝐀 𝐒𝐎𝐊𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐀𝐉𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐙𝐄𝐄 𝐊𝐈𝐁𝐀𝐎? Trump ametia saini amri ya kufichuliwa kwa nyaraka kuhusu kuuawa kwa Rais John F Kennedy, kaka...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Wizara ya afya imedhibitisha kifo cha mgonjwa mmoja wa Marburg ambaye alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospital ya Wilaya Biharamulo. Aliyefariki ni kati ya wagonjwa wawili waliobainika...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Asee huu mradi apewe Bakhresa atatisha sana
2 Reactions
4 Replies
470 Views
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki...
0 Reactions
3 Replies
466 Views
Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi imefanya kikao na wadau wa kodi mkoani Iringa, ikilenga kupokea maoni na mapendekezo kuhusu changamoto za kodi na tozo mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
  • Closed
Habari za wakati huu, Sijui wapi pa kuanzia Ila tangia mwaka 2018 niliamua kuacha kazi na kuanza maisha ya kujiajiri. Kazi niliacha baada ya kuona biashara zangu zingine ndogo ndogo zinalipa Ila...
68 Reactions
243 Replies
11K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk...
17 Reactions
56 Replies
2K Views
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga. Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake...
1 Reactions
10 Replies
589 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Czech, Ing. Martin Kupka jijini Prague Januari 18...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Eti nyie wazazi mnajisikiaje yaani watoto wenu wamesoma kwa gharama kubwa, halafu huko maofisini walipoajiriwa wanazidiwa Mishahara na watoto wa ST KAYUMBA. Hivi hamuumii kama watu waliochoma...
2 Reactions
28 Replies
966 Views
My Take Dodoma ya Kimataifa inanukia 👇👇 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi...
0 Reactions
4 Replies
706 Views
Habari wana jf Ningependa kujua hali hii huwa inasababishwa na nini hasa Mfano, ishawahi kunitokea nipo na mwanamke mrembo sana, ana joto lakini siku niliyokutana naye kimapenzi aiseee baada ya...
2 Reactions
7 Replies
588 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tutafute hela na muache wivuu English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee Kwaherini
16 Reactions
84 Replies
3K Views
Too much of something is harmful. Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Hii itasaidia sana kupunguza foleni kwani wakati nusu ya watu wanarudi kutoka kazini nusu wanakua wanaenda kazini badala ya wote kujazana kwenye lane ya upande mmoja. Pia ajira zitaongezeka...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa...
26 Reactions
416 Replies
11K Views
Back
Top Bottom