Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nilikuwa naishi mtaa flani hapa jijini, Dar es Salaam. Nyumba yangu ilikuwa ndogo lakini ilitosha kwa mahitaji yangu. Hata hivyo, kuna kipindi ambacho maisha yangu yaligeuka kuwa magumu sana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha . 2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani...
11 Reactions
103 Replies
4K Views
Hii ndio hali halisi utakayo kutana nayo kilometa 660 kutoka Dar es Salaam na kilimeta 122 kutoka Nachingwea. Katika kijiji cha Kiegei kila tarehe 25 ya mwisho wa mwezi, baada ya mnada wa bidhaa...
3 Reactions
25 Replies
15K Views
Habari wana JamiiForums. Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni...
11 Reactions
69 Replies
3K Views
Elimu bora ina fanya mambo matatu: 1. It will help you to acquire power. 2. It will help you to maintain power 3. It will help you to protect power. Kwa bahati mbaya sana mfumo wa elimu yetu...
2 Reactions
304 Replies
15K Views
Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka...
2 Reactions
2 Replies
507 Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, amesema Siku ya Mlipakodi ni tukio maalum linalolenga kutambua na kuwashukuru walipakodi wa kada zote kwa mchango wao...
0 Reactions
4 Replies
571 Views
Mwamba alisema akishindwa uchaguzi atarudi kukomaa na biashara zake. Kwa unyenyekevu kabisa naomba uturudishie Bilicanas, kwa niaba ya walevi wote.
1 Reactions
1 Replies
408 Views
Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi, Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na...
1 Reactions
3 Replies
647 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi...
1 Reactions
2 Replies
690 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba, Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24. Chalamila amesema kuwa...
2 Reactions
20 Replies
904 Views
Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi. 1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3). Yaani mpk mbu afe ni...
38 Reactions
226 Replies
20K Views
Wasalaam, Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar. Nimekuwa nikijaribu...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo na zawadi ya Tsh. milioni 5, Mkazi wa Tegeta Jijini Dar es salaaam, John Malole ambaye aliwaokoa Watumishi wa TRA walioshambuliwa Tegeta...
1 Reactions
0 Replies
636 Views
Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara. 1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana...
30 Reactions
216 Replies
48K Views
Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au...
3 Reactions
11 Replies
856 Views
Back
Top Bottom