Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi siyo mwanasiasa! Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO! Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni siku 3 sasa, wakuu kunani hapa nini maana yake? naona kama sio kawaida.
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Minara 42 ya Mawasiliano kati ya Minara 107 inayojengwa kanda ya nyanda za juu Kusini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imekamilika Akizunģumza kupitia kipindi cha #Checkpoint, Mkuu wa Mfuko wa...
1 Reactions
3 Replies
544 Views
Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote...
13 Reactions
22 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa namna ya kufanya Booking ya ndege : Precision Air au ATCL, Sababu baada ya kuchagua tarehe ya safari wakati wa kufanya Booking sioni sehemu ya kubonyeza ili niende katika hatua...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nipo India week ya pili sasa. Jana nimekaribishwa chakula chao kinaitwa Andra Chilli Chicken. Kina pilipili hatari na chapati nyepesi hivi nazo unachovya kwenye sauce ya pilipili. Nlipenda nikala...
7 Reactions
16 Replies
910 Views
Hii iko wazi kuwa Mtoto wa Kike anakumbana na Vikwazo vingi sana hadi kutimiza ndoto zake. Vikwazo hivo huanzia Pale tu anapozaliwa katika familia ambazo zilihitaji Mtoto wa Kiume kuwa wa Kwanza...
6 Reactions
9 Replies
648 Views
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii...
13 Reactions
99 Replies
3K Views
Wakuu niko najifunza kwa kusoma makala za hadithi za Sunnah za waislamu. Haya ni masimulizi ya mtume wao kwa watu wake wa karibu. Lakini nimesoma Sahih Bukhari 3366 Book 60 Hadithi ya 4 (Link:-...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama mzazi au mlezi, mara nyingi unakutana na changamoto za kuamka mapema asubuhi ili kuwahi kuleta watoto shuleni kwa kutumia magari ya shule. Lakini, je, umewahi kujiuliza jinsi hali hii...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini Isemboo Kichaga Warisyaa Kikurya Isekaa Kimeru Laiyok Kimasai Akakata...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi. Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo...
13 Reactions
237 Replies
30K Views
Habari wadau? Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi...
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu! Mimi ni mgeni humu ,nimeona nitoe nukuu kuwatia watu moyo. Ahsanteni!
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo...
1 Reactions
23 Replies
914 Views
Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine...
9 Reactions
156 Replies
5K Views
Ukiwa mfanyabishara Afrika /Tanzania kaa mbali sana makundi ya kisiasa usioneshe kufungumana na upande wa chama chochote au mtu yeyote . Nchi zetu hizi za kiafrika bado utawala wa kidemokrasia...
2 Reactions
2 Replies
268 Views
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mpambanaji mchapakazi ishu imenileta kwenu ni hii mimi nimekuja huku Kenya niko na miaka 2 sasa, kiukweli naishi poa na nimebahatika kupata msichana na tayari ni...
12 Reactions
124 Replies
4K Views
Back
Top Bottom