Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili ni Soko la Sabasaba Jijini Dodoma mvua zinaponyesha mara nyingi kumekuwa na hali ya matope kwa baadhi ya maeneo na hivyo kuwa kero lakini pia usalama wa vyakula unakuwa hatarini. Nimepita...
0 Reactions
8 Replies
658 Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba...
1 Reactions
2 Replies
778 Views
Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wanafunzi wenye watoto wachanga kupitia elimu nje ya mfumo rasmi, ili kuwawezesha kunyonyesha watoto wao kwa wakati wanapoendelea na masomo. Akijibu swali la...
1 Reactions
11 Replies
635 Views
Habari wakuu, Mnamo mwaka Jana zilikuja taarifa hapa juu ya hii barabara ya Goba mpakani ilivyokuwa hatarishi kupitika baada ya kupigiwa kelele hapa hapa jamvini wahusika mara moja wakaenda...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na...
0 Reactions
9 Replies
673 Views
Barabara ya Uhuru kwenye makutano ya mtaa wa Likoma eneo la Kariakoo pembeni ya Benki ya Akiba kuna shimo kubwa lililoachwa na wajenzi wa Barabara ambapo ni zaidi ya mwaka sasa. Shimo hili ni...
2 Reactions
1 Replies
545 Views
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta...
2 Reactions
2 Replies
487 Views
Nimejaribu kuingia kwenye tovuti ya USAID imeandika: Thank you for your service. https://www.usaid.gov/
1 Reactions
8 Replies
868 Views
Huku kwetu Tunduma karibu maeneo yote kuna changamoto ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo na wengine kipindupindu lakini hatusikii mamlaka zikiweka wazi kuhusu suala hilo hadharani. Kumekuwa na...
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Mwanaume mmoja alikuwa akimpa ombaomba $1000 kila mwezi. Alifanya hivyo kwa muda fulani bila kukosa. Siku moja, alimpa ombaomba $750 pekee. Ombaomba alishangaa, lakini akajiambia, "$750 ni bora...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Wamejitahidi sana kuficha lakini wapi! Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in...
1 Reactions
5 Replies
614 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao. Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi)...
1 Reactions
4 Replies
342 Views
Wajuvi na wajuzi tuelezeni
2 Reactions
17 Replies
858 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!. Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa. Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Je, katika mambo haya mawili ni lipi Lina ukweli? Unakuta unataka kufanya jambo, katika kukaribia kulikamilisha, unapata hofu na woga sana, hatimaye unaacha. Kwingine unataka kufanya jambo...
1 Reactions
4 Replies
318 Views
Nimemsikiliza mtumishi huyu, nimejifunza jambo muhimu sana katika kujiimarisha kiimani Nawe msikilize https://www.facebook.com/reel/8974835319238058
0 Reactions
2 Replies
338 Views
Back
Top Bottom