Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mhe Jenister Mhagama, Mhe Simba Chawene Waziri wa mambo ya ndani, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao yetu na PSSSF, Tumestaafu Mwaka jana mwezi wa 12 Hadi sasa Hatuja pata mafao yetu wala...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA. KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO; TIN (CASSITERITE)...
1 Reactions
4 Replies
538 Views
Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda. Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako. bidada huyo atafanya juu chini...
12 Reactions
134 Replies
26K Views
Habari wadau! Naenda kwenye hoja moja kwa moja kwenye hoja. Ki ukweli utakatishaji fedha ni biashara ambayo ipo kwa siri sana. Usione mtu anajipost na rundo la hela na hana kazi yeyote akasema...
29 Reactions
147 Replies
8K Views
Habari za jioni wana JF.. Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima...
9 Reactions
106 Replies
6K Views
Serikali kupitia Wizara ya Madini inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu hapa nchini kwa kufanya mapitio ya ada na ushuru mbalimbali unaotozwa katika...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Katika ulimwengu unaotegemea teknolojia na sayansi thabiti, madai yanayopinga kanuni za msingi huvutia hisia kali, aidha za matumaini au wasiwasi. Maxwell Chikumbutso, raia wa Zimbabwe, anadai...
2 Reactions
69 Replies
4K Views
Serikali imeombwa kuingilia kati ili waliokuwa wafanyakazi pamoja na wateja wa Benki ya FBME wapate haki zao ikiwemo fedha ambazo wanaidai benki hiyo ambayo imesitisha kutoa huduma tangu mwaka...
0 Reactions
5 Replies
449 Views
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo akimtaja mzazi kama kiungo muhimu...
2 Reactions
8 Replies
730 Views
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imesaini mkataba wa ununuzi wa mitambo ya kuchimba visima virefu na kampuni ya utengenezaji...
1 Reactions
1 Replies
361 Views
Wakuu, Kuna wadada na wamama huku mitaani tunapoishi wana tabia ya kukaa vibarazani nje iwe mchana iwe usiku wanakaa hapo sehemu ya njia watu kupita kuna hizi barabara za mitaa sasa nyumba...
6 Reactions
23 Replies
955 Views
Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10 au Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu Mfano...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amesema mfumo wa Stakabadhi za Ghala, umeendelea kuwa chombo muhimu katika kuimarisha urasimishaji wa biashara ya mazao kwa kuweka uwazi...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi. Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo...
46 Reactions
230 Replies
12K Views
Niliwahi kusema hapa kwamba tangu Serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo. Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Jengo la Abiria la Mwanza Airport Vs Jengo la Abiria la Gwandar International Airport -Pakistani. https://www.youtube.com/live/xmVq3nhd7fA?feature=shared My Take Si ajabu watu wakashindwa...
0 Reactions
8 Replies
588 Views
Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom