Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

|Haya ndio mambo sita makubwa yanayomvutia zaidi Kachero Benard Membe kwa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza, Mabadiliko, ni raha ya Watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi wa...
11 Reactions
109 Replies
10K Views
Habari zenu Wanajamiiforums. Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga. Wale wote wanaojazana kanisani sijaona, Wale wa...
14 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu heshima yenu Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia...
11 Reactions
85 Replies
4K Views
Chanzo: Wavuti ya Gazeti JAMHURI Misaada mingine ya Marekani ni fedheha Na Manyerere Jackton Wiki iliyopita Rais Jakaya Kikwete alizungumza neno zuri. Sina hakika kama viongozi wetu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Barrack Obama amemwonya rais wa Uganda,Yoweri Musuveni, kwamba ikiwa atasaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja basi uhusiano kati ya Uganda na Marekani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump. Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77...
1 Reactions
9 Replies
883 Views
Wadau hivi mtu Akiwa adventure huwa anapata faida a gani. Na je gharama za usafiri anapatia wapi?
2 Reactions
13 Replies
652 Views
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, ulio katika Kata ya Nduli, Mkoani Iringa, umefikia asilimia 93 ya ukamilifu na umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 68. Kwa sasa, uwanja huo uko tayari kwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani nimetafakari sana,nimeona kama baadhi ya vituo vingine vya mwendo kasi walivijenga vikubwa sana bila sababu yoyote. Mfano hivi vya katikati,Magomeni hospitali,Jangwani,Manyanya...
3 Reactions
12 Replies
671 Views
Ninaongea nikiwa na evidence. Kuna familia ilipata mtoto wa pili. Mtoto alivyozaliwa alipewa jina fulani. Lakini makuzi ya mtoto huyo hayakuwa marahisi, alikuwa analia sana, kula kwa shida, ana...
1 Reactions
3 Replies
450 Views
Anonymous
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma. Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila...
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je...
3 Reactions
92 Replies
20K Views
Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa. Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada. Wakati tukiangalia...
60 Reactions
156 Replies
19K Views
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole Hivi...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga. Hayo yanakuja kufuatia tangazo la...
0 Reactions
5 Replies
503 Views
Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mhe Jenister Mhagama, Mhe Simba Chawene Waziri wa mambo ya ndani, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao yetu na PSSSF, Tumestaafu Mwaka jana mwezi wa 12 Hadi sasa Hatuja pata mafao yetu wala...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA. KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO; TIN (CASSITERITE)...
1 Reactions
4 Replies
538 Views
Back
Top Bottom