Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wanao jiita viongozi wanawagana Tsh Milion 400 za walimu ambazo wametoa ada kwa chama iko.
Chama icho kimeweka ada ya Tsh...
Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo...
Wanajukwaa habari za wakati huu.
Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi
Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF...
Maelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii...
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha
Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi...
https://www.youtube.com/live/gwDU3yG1pk4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amepokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel Dar es salaam, leo tarehe...
Kumbe neno fake news lina maana tofauti na wengi tuelewavyo. Inatolewa taarifa yenye ukweli ila Kama anayetakiwa kuwajibika hasipokuwa tayari kuzungumzia inaitwa fake news ,wanaibatilisha na...
Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani.
Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje...
SIKU moja baada ya kuenea taarifa ya kuuawa kwa mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis, anayedaiwa kuuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mtwara, mmoja wa ndugu wa marehemu amedai wakati...
Wakuu nadhan Nina mkosi, Kazi sipati nikipata mbaya, Nikinnua mifugo inakufa, Biashara holaa, Mke Sina,
Kwa mganga nimeenda mara moja lakin nayenyewe bado haijanisaidia.
Nachomokaje hapa wakuu.
Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.
Nahofia...
UTANGULIZI
Leo wana JF nimependa niweze kuwapa somo la kurejesha kumbukumbu. Nimekuwa nikifanya hivyo kwa muda wa miaka 15 sasa. Kuna baadhi ya kumbukumbu nimeweza kuzirejesha.
Somo langu la leo...
Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye...
Wakati mwili wa Jacob Elias (44) mkazi wa Milanzi Manispaa ya Tabora anayedaiwa kufariki dunia kutokana na kipigo alichokipata akiwa mahabusu ukizikwa jana Februari 16, 2022, Jeshi la Polisi...
"Niliachana na Elon Musk baada ya yeye kuyumba sana kiuchumi lakini Kwa Sasa ninajutia kitendo changu cha kumuacha na sasa nataka kurudiana naye, sio kwa sababu ya Pesa zake nyingi Wala siyo kwa...
Habari.
Kuna kero moja Manispaa ya Singida, kumekuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery.
Wananchi wanatoa taka nje siku ya kubeba hawaji kuchukua. Hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.