Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu Msomaji, Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio. Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok. Kitu Ambacho Kilibadilisha...
38 Reactions
53 Replies
4K Views
Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu. Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia . Ili kulinda privacy...
1 Reactions
13 Replies
666 Views
Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu...
3 Reactions
9 Replies
541 Views
Simnajua ndugu yenu tokea niachane na mma yenu mdogo kwa kufumaniwa ikanibidi nianze kutafuta mwingine basi jana natoka zangu kariakoo nikapanda gari ya kigamboni kisiwani, kukaa kwenye siti tu...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Ili kujenga jamii yenye utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii ili kuchangia maendeleo ya taifa hili. Tunapaswa kupitia mabadiliko kadhaa moja ya mabadiliko hayo kama ushauri au pendekezo langu ni...
1 Reactions
24 Replies
756 Views
Ardhi karibu yote inayofaa kwa kwa Kilimo Namibia inamilikiwa na wazungu masalia ya wakoloni Wajerumani na makaburu wa Africa Kusini! Kizazi cha wakoloni ambacho ni 6% wanamiliki 70% ya ardhi...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
Dar es Salaam. Kwa utafiti mdogo. Ambao sihitaji ruksa ya mitume na manabii kuniruhusu niseme. Huu ni utafiti wangu binafsi. Nimetumia miaka kadhaa ili kuukamilisha na kimsingi kazi hiyo imeisha...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wanao jiita viongozi wanawagana Tsh Milion 400 za walimu ambazo wametoa ada kwa chama iko. Chama icho kimeweka ada ya Tsh...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Ughonile.. Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda. Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo...
17 Reactions
283 Replies
10K Views
Wanajukwaa habari za wakati huu. Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu, Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
8 Reactions
75 Replies
3K Views
Ajabu ni nzuri balaa. Hizi blenders zimeleta shida bongo haki ya nani!! Mmatumbi anataka kujaribu Kila kitu aone kinanogaje ikiwa juisi.
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Maelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha Hali hiyo ya kifedha imesababishwa na baadhi ya nchi...
2 Reactions
4 Replies
590 Views
https://www.youtube.com/live/gwDU3yG1pk4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amepokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel Dar es salaam, leo tarehe...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumbe neno fake news lina maana tofauti na wengi tuelewavyo. Inatolewa taarifa yenye ukweli ila Kama anayetakiwa kuwajibika hasipokuwa tayari kuzungumzia inaitwa fake news ,wanaibatilisha na...
6 Reactions
8 Replies
749 Views
Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani. Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
SIKU moja baada ya kuenea taarifa ya kuuawa kwa mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis, anayedaiwa kuuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mtwara, mmoja wa ndugu wa marehemu amedai wakati...
12 Reactions
101 Replies
11K Views
Wakuu nadhan Nina mkosi, Kazi sipati nikipata mbaya, Nikinnua mifugo inakufa, Biashara holaa, Mke Sina, Kwa mganga nimeenda mara moja lakin nayenyewe bado haijanisaidia. Nachomokaje hapa wakuu.
5 Reactions
7 Replies
500 Views
Back
Top Bottom