Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao...
77 Reactions
246 Replies
18K Views
Husika na kichwa cha habari , mbuga gani nzuri kwa kutalii Bongo Zingatia Accommodation Vyakula Idadi ya wanyama Urahisi wa kufika kwa barabara
1 Reactions
6 Replies
499 Views
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32. Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
24 Reactions
53 Replies
4K Views
Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini? Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili . Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa...
18 Reactions
120 Replies
7K Views
Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba...
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania inategemea sana fedha za msaada na mikopo kujiendesha. Ingawa serikali haijawahi kuweka wazi hii hali ila baada ya Marekani mfadhili mkuu kujitoa kwenye baadhi ya mambo...
15 Reactions
59 Replies
3K Views
Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
#TANZANIA:TUNDU LISSU:KWENYE NCHI HII HAKUNA HAKI MAHALI POPOTE “Nchi hii haina haki mamilioni ya wananchi hawatendewi haki, kwenye vituo vya polisi hakuna haki, kwenye mahakama zetu hakuna haki...
1 Reactions
0 Replies
184 Views
Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema. Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani...
3 Reactions
4 Replies
529 Views
Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la...
1 Reactions
9 Replies
670 Views
Hello! Naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhusu kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa solution ni kuchoma, je unaichoma tu moto au kuna manuizi...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
1 Reactions
5 Replies
883 Views
Wasalaamu kwa wanaJF wote! Nimepata fursa ya kuhudhuria mkutano mkuu wa madaktari viongozi katika sekta afya jijini Dodoma ulioanza leo tarehe 20 mwezi agosti 2019. Pamoja na ukweli kuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa...
2 Reactions
16 Replies
640 Views
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza...
19 Reactions
70 Replies
3K Views
Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa...
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Back
Top Bottom