Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona binafsi sheria zimewekwa ili kutoa adhabu na siyo kurekebisha tabia,taasisi zinazoshughulika na taratibu zimekuwa zikitozq fedha pasipo kuangalia/kuweka misingi ya kutokomeza tatizo Mfano...
1 Reactions
10 Replies
420 Views
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) tawi la Mbeya, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na meno manne ya tembo aliyokuwa nayo ndani ya gari. Mwanafunzi huyo alikiri...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Wamepita Marais wengi hapa Tanzania lakini ni Rais Samia mtoto wa Ardhi ya Kizimkazi ndio ameutendea Haki Mkoa wa Mbeya kulingana na hadhi yake. Ilikuwa ni Kilio Cha mda mrefu Kwa Wana Mbeya...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
11 Reactions
76 Replies
4K Views
Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla. Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI" Kitendo alichofanya...
21 Reactions
51 Replies
3K Views
Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu habari za leo. Sijui wenzangu huko simu zenu vipi lakini siku za karibuni napata shida sana kutumia huduma za Tigo pesa na Mpesa mara kwa mara huduma haipatikani hasa jioni. Hali hii...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi. Hii inaonekana...
24 Reactions
133 Replies
5K Views
Habarini Wanajf wenzangu, Ihope mko good. Kwa mara ya kwanza nafanya meditation baada ya kufundishwa na jamaa mmoja hivi niliona haina maana, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda niliona...
12 Reactions
110 Replies
11K Views
MAANA YA TAHAJUDI/MEDITATION Neno tahajudi limetokana na neno la kiingereza linaloitwa 'meditation' likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo limetokana na...
7 Reactions
36 Replies
49K Views
Naipenda Yanga, Furaha yangu sio pombe, furaha sio mpira wa Ulaya, Furaha ni Yanga. Mkifungwa mjue tunaumia zaidi yenu. Wikiendi yangu imeanza vizuri, Naomba kesho muindeleze kwa furaha tele...
2 Reactions
5 Replies
501 Views
Shiriki mjadala huu live kuanzia Saa mbili Usiku mpaka saa Tatu , ufahamu athari anazoweza pata mtoto kiakili kufuatia uonevu anaotokea mashuleni .
2 Reactions
1 Replies
224 Views
INAUMA sana! Mrembo Happyness Fredric ‘Happy’, mkazi wa Yombo-Kanisani jijini Dar ambaye alikuwa ni denti wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anadaiwa kuuawa kikatili kwa kunyongwa...
9 Reactions
106 Replies
27K Views
==== Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Wananchi wa Buchosa na Geita hatimaye wameondokana na kero ya usafiri baada ya ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita kukamilika. Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Timu Maalumu inayo ongozwa na Prosper Alexander Kisinini mwanasheria wa Serikali imetinga wilayani Mbarali kwa Mafunzo yaliyoandaliwa na wizara ya katiba na Sheria kwa lengo la kuwajengea uwezo...
1 Reactions
0 Replies
241 Views
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma. Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu. Kwaresma ETI wanafunga ili...
8 Reactions
83 Replies
3K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa utoaji wa mikopo kwa wananchi unazingatia makundi yote...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James ametoa siku 14 kwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani humo kuhakikisha wanatimiza majukumu yao...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Back
Top Bottom