Sijawahi kuelewa kwanini Wabongo wengi wanaichukulia Afrika Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60.
Kuna mtu nimekutana naye anasema...
Februari 11, 2025 katika ibada ya maziko ya Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, viongozi wakuu wa Chadema Taifa walimshukuru Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel, kwa...
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika...
Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city)
Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye...
Salama wakulal?
Kuna shida hapa Arusha, haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku!
Kwanini wanafanya hivyo wakati nauli inajulikana ni mia sita?
Katika kipindi kirefu kwa nyakati tofauti kupitia vyombo vya habari ikiwemo jukwaaa la JamiiForums.com zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa migogoro ya aridhi katika Wilaya ya Kiteto iliyopo...
Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya kutoka Tanzania Dkt. Ntuli Kapologwe, ameibuka mshindi wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA –...
(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh
(2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,,
(3)Wanasiasa na...
Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imekamata jumla ya kilogramu 2,207.56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye asili ya...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu chanzo cha magonjwa mbalimbali yanayoathiri binadamu duniani. Wakati baadhi ya magonjwa yanatokana na mabadiliko ya mazingira, bacteria, na virusi 🦠, kuna madai...
Wakuu,
Hivi si tuliambiwa kuwa ARV ziko za kutosha?
Na kwamba tusihofu Marekani kusitisha misaada kwa sababu serikali ina ARV zinazotosha? Sasa inakuaje tunapewa onyo kuwa maambukizi ya UKIMWI...
Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu.
Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo...
Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya...
International Field Exploration and Development Conference (IFEDC) 24-26 September 2025
📅 24-26 September 2025 | 📍 Beijing, China (Online & Offline)
Dear Colleagues,
We are pleased to invite...
Habari?
Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji.
Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi...
Wakuu,
Imezuka na kukomaa tabia za washereheshaji kurekodi watu wanaofurahi kwenye sherehe walizokodiwa na kurusha kwenye page zao mitandaoni bila ruksa za wahusika.
Maharusi wanaweza kutoa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea na kujionea eneo linalotarajiwa kujengwa kitega uchumi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo (wamachinga) ambapo...
Najua sitakuwa mwenyewe kwenye hili, nina uhakika kwenye simu yako lazima utakuwa umeshawahi kutumiwa message na kampuni za betting, kampuni ambazo hata hujawahi kutumia huduma zao na baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.