Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
1 Reactions
5 Replies
883 Views
Wasalaamu kwa wanaJF wote! Nimepata fursa ya kuhudhuria mkutano mkuu wa madaktari viongozi katika sekta afya jijini Dodoma ulioanza leo tarehe 20 mwezi agosti 2019. Pamoja na ukweli kuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa...
2 Reactions
16 Replies
640 Views
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza...
19 Reactions
70 Replies
3K Views
Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa...
1 Reactions
3 Replies
370 Views
Utangulizi Katika ulimwengu wa leo, ambapo maendeleo ya kiteknolojia yanapiga hatua kwa kasi isiyowahi kushuhudiwa, ni wazi kuwa sayansi inaendelea kusukuma mipaka ya yale tuliyoyazoea. Swali la...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Kuna weza kuwa na faida iwapo tutakuwa na halftime show ya muziki kwenye Kariakoo Derby kama ambavyo US wanayo kwenye superbowl?
2 Reactions
7 Replies
393 Views
Anonymous
Barabara ya Silent Inn kuelekea kanisani Kiranyi na freedom lodge Sakina Arusha,iko kwenye hali mbaya mkandarasi aliyepewa kazi ya matengenezo anasua sua sana tangu mwaka jana ameshafanya kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
Products keys za bure unaweka kwenye Windows 10 & 11 Je ulikua unasumbuka kupata product keys za windows 10 na windows 11 kwa ajili ya kompyuta yako. Leo nimekuletea products za bure kabisa...
1 Reactions
2 Replies
514 Views
Ni kama vile imekuwa ni vigumu kukabiliana na changamoto ambazo Wenzetu huko nje hawana shida nazo, na kwa kuwa wameshakuja na matumizi ya taa za kuongozea Magari wakaishia hapo nasi tumebaki hapo...
1 Reactions
7 Replies
416 Views
Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku...
16 Reactions
96 Replies
4K Views
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa...
14 Reactions
121 Replies
5K Views
Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi...
2 Reactions
0 Replies
526 Views
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro. Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Maybe i am mis-informed na un-informed, labda ni ignorance, Bwana anisamehe, ila all in all nimekubali kuwa sijui na nisaidiwe kujua.
4 Reactions
10 Replies
557 Views
Kamishna wa Idara ya Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hashimu Ngoda amefanya ziara ya kutembelea vituo vya forodha ukanda wa pwani katika maeneo ya Kunduchi, Mbweni pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu...
0 Reactions
1 Replies
526 Views
Wajuvi wa mambo Mradi gani wa umeme utanisaidi kuishi vizuri na familia bila bugha.... Umeme wa Tanesco/REA Au Ninunue Generetor
1 Reactions
12 Replies
725 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana . Embu Soma habari hii👎 Katika...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Back
Top Bottom