Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salamu. Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa. Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha...
3 Reactions
4 Replies
467 Views
Anonymous
Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika. Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Wakuu Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa? == Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA "Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia...
35 Reactions
103 Replies
6K Views
Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu. Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani...
1 Reactions
34 Replies
830 Views
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara.. Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo. Brands ninazoziwaza ni kati ya Midea Haier...
1 Reactions
5 Replies
657 Views
Haki za kiraia ni haki za msingi zinazohakikisha kila mtu anatendewa kwa usawa na ana uhuru wa kushiriki katika jamii bila kubaguliwa. Haki hizi zinamlinda mtu dhidi ya ubaguzi na unyanyasaji kwa...
0 Reactions
3 Replies
583 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Mambo ya Walawi 15:19 9 Mwanamke ye yote, kama anatokwa na kitu, na kitu chake alichokuwa nacho mwilini mwake ni damu, ataketi katika...
4 Reactions
11 Replies
614 Views
Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni...
2 Reactions
14 Replies
946 Views
https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Diplomasia ni jambo la muungano ? Rais - Zanzbar Waziri mambo ya nje - Mahmoud (Zanzibar) MShauri wa rais maswala ya diplomasia - Maulidah (ZAnzibar)
0 Reactions
6 Replies
549 Views
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa...
1 Reactions
5 Replies
807 Views
Nani kama mama? Hafoki mabarabarani lakini kazi zinaongea.
0 Reactions
40 Replies
1K Views
Haabari wadau..! Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa. Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo...
32 Reactions
417 Replies
43K Views
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli. Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Back
Top Bottom