Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hizi ni statistics kwa mujibu wa The chanzo Rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana . Mikoa inayongoza kwa talaka 1 -...
3 Reactions
1 Replies
514 Views
Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu hope mko poa kabisa. Straight to the topic. Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji. Sasa leo nakuja na malalamiko...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni...
8 Reactions
112 Replies
6K Views
Naheshimu wewe unaesema hutaki kuoa. Pia, Na heshimu na wewe ulioa au mwenye mpango huo. Lakini unapokuja na sababu kuwa wasichana wa siku hizi!! mara wanaume wa siku hizi!!, huo ni ubatili...
6 Reactions
23 Replies
950 Views
Wakuu naombeni mnijuze, wataniruhusu kusafiri? Mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho, sasa safari ni kesho kutoka Dodoma hadi Dar. Baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
28 Reactions
93 Replies
5K Views
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing-Spandet ameitembelea JamiiForums (JF) na kufanya mazungumzo na Uongozi na Watendaji wake ikiwa ni pamoja na kujionea maendeleo ya Taasisi...
23 Reactions
63 Replies
4K Views
Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenu💐💐💐💐💐💐 Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida website ya kusajilia Kampuni ya ORS iliyo chini ya BRELA iko down kwa zaidi ya masaa 3 sasa ! Ikitoa ujumbe wa "capacity problem" message kama hizi hutokea pia ambapo...
0 Reactions
2 Replies
374 Views
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika maisha kuna aina nyingi za watu , leo nitakupa aina tatu za watu ambazo zinaweza kuwa msaada kwenye maisha yako kwa namna moja au nyingine. 1.Leaf People (Watu Majani). Hii ni aina ya watu...
4 Reactions
4 Replies
707 Views
Ni kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma, mbona chawa wao wamekomaa tu Dar?
1 Reactions
20 Replies
736 Views
Walimu na Wanafunzi wa shule ya msingi Nachingwea wameomba serikali na wadau waliowahi kusoma hapo kusaidia kuboresha majengo ya shule hiyo yaliyo na hali mbaya. Shule hiyo ina Wanafunzi 549...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Meta imeanza kufuta maelfu ya nafasi za kazi huku kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ikichukua msimamo mkali dhidi ya wafanyakazi wanaoshindwa kufanya vizuri na kujiandaa kifedha kwa ajili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NIRC YASHUSHA NEEMA PWANI KUJENGA VISIMA VYA UMWAGILIAJI VITANO NIRC Pwani Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini mkataba wa mradi wa uchimbaji visima vitano vya umwagiliaji katika Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani...
2 Reactions
10 Replies
767 Views
Polisi wao ni watekelezaji wa sheria, Bunge ni watungaji wa Sheria baada ya CPD kuzipitia. Mapenedekezo yanatoka katika idara husika. Sasa, Bodaboda zina plate number kwa nyuma tu ila mbele...
0 Reactions
4 Replies
538 Views
Back
Top Bottom