Wasotho wana tamaduni zao tofauti, ikijumuisha aina za kipekee za muziki na lugha yao, Sesotho.
Shughuli za kitamaduni ni pamoja na kucheza, kupiga makofi, kuimba, na kuimba. Shughuli fulani za...
Takwimu zinaonyesha tofauti kubwa katika ukuaji wa idadi ya watu kati ya nchi za Afrika Mashariki na zile za Scandinavia kati ya mwaka 1960 na 2024. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo...
Wana JF
Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu...
Wakuu,
Kawe leo kumezidi kupamba moto
Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo.
Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business...
Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika.
Mfano kuna...
Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina
Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge
Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti...
Pengine hadi sasa hujui, wala hujawahi kufikiria kuwa; wewe ndo hayo mabadiliko unayotamani sana kuyaona duniani.
Kwa namna moja ama nyingine, umekuwa ukijichukulia kuwa mfinyu na usiye na nafasi...
Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi.
Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi.
In fact,almasi hatuisikii kabisa.
Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school...
Mmoja wa maafande ambao ni marafiki wa madereva wa vyombo vya moto ikiwemo gari na Bodaboda ni Afande Adrian Rutaihwa Kamara. Kwa sasa yeye ni District Traffic Officer (DTO) wa wilaya ya Kipolisi...
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo...
Mamlaka ya mapato Tanzania inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi ya zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025 kabla au mnamo Februari 7, 2025.
Najiulizaga hili swali sipati jibu labda niwaulize nyie mnaodaiwa na hamtaki kulipa….?
Nini kinasababisha usilipe deni??
Kwa mtu binafsi achana na mahela ya benki!
Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole!
Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa!
Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja!
Angekuwa mtu wa dili...
Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila...
Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko.
Hivi haiwezekani kuwatandika...
Watusi ni moja kabila moja kubwa hapa nchini kwetu ambalo linapatikana haswa baadhi ya maeneo hapa nchini kama vile Tabora, Mpanda, Kigoma, Geita, Kagera, Karagwe, Bukoba na Kahama.
Ukifika...
Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?
Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori...
Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo.
1. KUFANYA KAZI NYINGI.
Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake...