Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Chumvi haihitaji kufanana na viungo vingine, wala haitoi harufu kama viungo vingine, lakini bila hiyo, supu haina ladha. Watu wenye kujitambua hawawezi kupigania nafasi, umaarufu, au mwonekano...
2 Reactions
1 Replies
556 Views
Inaweza kuwa ngumu sana kuamini na kuilewa hii kwa wanaume, ila leo tumia macho yako kusoma thread hii...... Tumezaliwa katika kizazi ambacho kilichojitenga na maadili mema ya kijamii ambapo...
1 Reactions
4 Replies
622 Views
Kutoka kwa rafiki nanukuu bila kuongeza wala kupunguza chochote...mimi ni mwanamke mmiliki wa duka la dawa, siku ya jumatano tarehe 19.3.2024 walikuja watu dukani kwangu ambao hawakujitambulisha...
4 Reactions
15 Replies
787 Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo , Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Tunduma...
2 Reactions
0 Replies
345 Views
Ilikua jumatano kama ya leo Tarehe hii hii mwezi huu huu mwaka 1974, Ndio miaka 50 pale Dunia iliposhuhudia mpambano mkubwa wa ngumi haukuwahi kutokea kati ya bondia George Foremen (Big George) na...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi! Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins...
9 Reactions
61 Replies
8K Views
RAFIKI NI ADUI ALIYE KARIBU Na, Robert Heriel Rafiki ni mtu ambaye unaukaribu naye wa kimahusiano, unayeshirikiana naye katika mambo mengi, unayemuamini, unayetunziana naye siri na kusaidiana...
36 Reactions
43 Replies
8K Views
Dini ya Zoroastrianism, ambayo pia hujulikana kama Zoroastrian au Mazdayasna, ni moja ya dini za kale zaidi za ulimwengu na ina asili yake katika Uajemi ya kale (sasa Iran). Ilianzishwa na nabii...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Ushahidi unaonyesha, kwamba Waafrika Weusi walioanzisha ustaarabu nchini China walikuwa Li-Min "Watu Weusi Wanaoongozwa" - na nasaba ya Zhou- Babeli waliwaita. Sag-Gig- Ga "bhp". Mmoja wa maliki...
4 Reactions
8 Replies
603 Views
Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHPP.
0 Reactions
4 Replies
506 Views
💠💠💠💠Namna ya kuona aura yako💠💠💠💠 ✍️Kama ilivyo katika aina nyingi za uwezo wa kiakili, kuona aura kunaweza kutokea kwa hiari au kwa mapenzi. ✍️Wakati mwingine watu huripoti kuona aura ya rafiki...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikuaje?? Mimi nilipitwa kidogo, ilikuaje mpaka sheikhe hapa akawa anapiga dua AFANDE SELE afe ? Na ilikuaje mpaka Leo AFANDE sele yupo anadunda tuu, dua iligonga mwamba au
4 Reactions
14 Replies
765 Views
Anonymous
Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo...
0 Reactions
9 Replies
735 Views
Wananchi zaidi elfu 10,000 wa kata ya Itezi jijini Mbeya, wameondokana na shida ya upatikanaji wa maji safi baada ya Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Mbeya MBEYAUWSA, kuzindua mradi wa maji...
1 Reactions
1 Replies
282 Views
Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayasi Njalambah, amesisitiza kuwa amani na utulivu ni fahari ya Jiji la Mbeya na msingi wa maendeleo endelevu. Sheikh Njalambah amepongeza juhudi za Serikali ya...
1 Reactions
2 Replies
324 Views
South African traditional DNA test. This is a common practice by the Zulu people of South Africa. Also practiced in Zimbabwe and Lesotho. The cows approach cautiously and harmlessly to inspect...
2 Reactions
3 Replies
568 Views
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba...
7 Reactions
107 Replies
7K Views
Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Zamani miaka ya nyuma Msiba ulikuwa unatumia Mwezi mzima . Ila jambo ambalo huwa nalitafakari ni kuhusu "the power of connectivity" Yaani kuna wale ndugu zetu walikuwa wakitoka Bukoba na kwenda...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…