Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari 2025 kama ilivyotangazwa wiki kadhaa zilizopita. Soma: Tanzania yazindua Noti Mpya toleo...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko. Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo. Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana. Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake...
4 Reactions
4 Replies
308 Views
Mwenye ufafanuzi ashuke na uzi
1 Reactions
8 Replies
388 Views
Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah, Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Nilikuwepo katika mji mdogo wa Katoro kipindi Alphonce Mawazo anafariki. Nakumbuka kulikuwa na mkutano wa Chadema katika ukumbi, maarufu kama Makungu na hyo siku ilikuwa ni mechi ya Yanga anacheza...
16 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwigizaji Simon Fisher-Becker, anayejulikana zaidi kwa kushiriki filamu za "Harry Potter" na "Doctor Who," amefariki akiwa na umri wa miaka 63. Kifo cha Fisher-Becker kilithibitishwa na meneja...
1 Reactions
3 Replies
483 Views
Shida ni nini? Juzi mnasema umeme ni mwingi kupita matumizi shida mgao. Hii kauli haieleweki kukiwa na kukatika kwa umeme kama hivi. Tutaweza kuuza umeme kwa jirani kweli kama alivyosema Rais Samia
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Ikiwa ni msimu wa sita kwa Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Akson kugawa bima na mahitaji muhimu kwa...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari wana nzengo, Sheria ya kupata kipimo cha vinasaba (DNA) hapa Tanzania ina mchakato mgumu kidogo. Ni kwamba ni ofisi maalum zinaweza kuomba kupata vipimo hivyo tu, katika kutekeleza...
27 Reactions
56 Replies
4K Views
Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide. Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea? Hiyo hewa inaingizwaje...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Naam kwa fikira za kawaida tu....Wachungaji,wainjilisti,mapadre na ma sista hawa watu wamekula kiapo cha kumtumikia Mungu mpaka kufa kwao.Wameweka nadhiri. Sasa pale wanapo staafu nini tafsiri...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Naanza na mimi kuna wakati nilikua safari kutokea Same nikielekea Arusha nilipanda coaster na kupata siti ya nyuma kabisa na sababu yenyewe nikwamba tulikua wawili hivyo tulipendelea kukaa pamoja...
2 Reactions
5 Replies
421 Views
Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Habar za jioni,nimepata changamoto king'amuzi kinaniambia "hakuna kituo" Msaada kwa anaejua tafadhali
2 Reactions
8 Replies
603 Views
Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA. jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi...
4 Reactions
68 Replies
3K Views
Katika upekuzi wangu jana nikawa nimekifuma kitabu hiki na mwisho nikakutana na hadithi hii ungana nami kuisoma ina toka katika kitabu cha 6 Tujifunnze Lugha Yetu! Zamani za ukoloni, palitokea...
1 Reactions
41 Replies
19K Views
Wakuu, Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji. Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi...
0 Reactions
2 Replies
342 Views
Back
Top Bottom