Na Mwandishi Wetu, JAB
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za...
Wakuu habari.
Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .
Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa
-hapendi mafanikio yako
-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje
-Ana chuki ...
Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa...
Nilieleza uzi kuhusu:
Alafu wana mashine zao zishakata kodi yani sio EFD.
Nilishawai kugambana nao kitambaa cheupe niwape TIN yangu kwasababu VAT walikimbia hawa taki kuwa na mashine
Kilicho...
Uwezi kusema kiswahili kipo uganda,rwanda,burundi wala sudani kwa upande wa mashariki ya kongo ila hawa wana kiswahili ambacho utajua kipo tanzania ni kwamba hapa kwenye nchi hizi ndio tatizo...
Upotoshaji umekuwa ukifanyika katika namna tofauti tofauti ikiwemo kuhariri maudhui halisi yaliyo kwenye grafiki na kuleta maana tofauti.
Wapotoshaji wanaweza kubadili neno moja kutoka katika...
Voda Voda Voda!!
Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani?
Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa.
Kila ikifika saa Moja jioni.
Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa...
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko
🗣️Tuna macho mawili ambayo Ni macho ya uongo fake eyes, lakini pia tuna jicho moja ambalo ndiyo jicho la kweli true eyes, Hivyo tuna macho matatu...
Ndugu waziri Dr Dorothy Gwajima,
Naleta kwako hoja kama mzazi na Mtanzania ninayejua na kuheshimu tamaduni na mila zetu.
Kwa muda sasa nimeshuhudia mtiririko wa maudhui yanayopandikiza mbegu...
Wakuu
Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari 2025 kama ilivyotangazwa wiki kadhaa zilizopita.
Soma: Tanzania yazindua Noti Mpya toleo...
Kuna wilaya utasikia inasifika kimapato mpaka kuwa kinara ila yaliyomo ndio unaweza kuangua kicheko.
Mapato yanayo kusanywa tofauti na miundo mbinu iliyopo.
Kuna mada hapa JF imetolewa kuhusu...
Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana.
Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake...
Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah,
Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya...
Nilikuwepo katika mji mdogo wa Katoro kipindi Alphonce Mawazo anafariki. Nakumbuka kulikuwa na mkutano wa Chadema katika ukumbi, maarufu kama Makungu na hyo siku ilikuwa ni mechi ya Yanga anacheza...
Mwigizaji Simon Fisher-Becker, anayejulikana zaidi kwa kushiriki filamu za "Harry Potter" na "Doctor Who," amefariki akiwa na umri wa miaka 63.
Kifo cha Fisher-Becker kilithibitishwa na meneja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.