Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni mauaji yaliyogubikwa na simulizi na hisia tofauti juu ya nini hasa kiini cha mauaji ya mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Luteni Jenerali Imran Kombe...
18 Reactions
88 Replies
20K Views
Wadau hamjamboni nyote? Misa ya wafu ni sahihi Kanisa moja takatifu la Mitume Tafakuri ya kina kwa wenye elimu ya theolojia Dominika njema "Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona chini ya...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Kwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA, Je chama hicho kinaelekea njia ya TLP? Na Thomas Joel Kibwana Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), ambacho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa...
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Wapendeni adui zenu kama nafsi zenu A police officer in Zambia has been arrested for allegedly releasing over a dozen prisoners so they could celebrate New Year's Eve. Detective Inspector Titus...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya 2025. Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa. Hakika Arusha...
7 Reactions
60 Replies
2K Views
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000. Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
Naomba kuelewa wadau 👉.12% ni kiasi gani uwekezaji huo unaanzia kwa mwananchi yoyote 👉.je Baada ya Samia kutoka madarakani huu mfuko wa uwekezaji utaendelea? 👉.Faida zake ni zipi na hasara zake...
2 Reactions
8 Replies
972 Views
Miaka kadhaa iliyopita nilifanikiwa kusoma Elimu ya sekondari lakini nilivyomaliza sikubahatika kufaulu kujiunga na kidato cha tano kwani nilipata daraja la 4, hivyo nilikua sina tumaini lolote na...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
1-Kazi/ajira ya kueleweka. 2-Familia 3-Assets kama nyumba,kiwanja n.k zama za kufarijiana kwa wanaume zimepitwa .
28 Reactions
97 Replies
4K Views
This vision I got this morning at seven o'clock. Nilikuwa katika ndoto. But in this dream I was sitting cross- legged doing meditation. And then I disengaged from the body and I started drifting...
5 Reactions
12 Replies
777 Views
Chai ya Fatu…Chai ya kitanga 👌 Chai imepikwa sio kuchemshwa chai ya mtoto hii yinyi mnaita eti peace au pisi 🔥ukiiangalia tu unapata hamu kuinywa 😋 Na Kuna zile chai zenu zile za majani na...
1 Reactions
11 Replies
569 Views
Sjazungumza sana naombeni mnitajie tu nchi zilzoendelea ambapo maendeleo yao yalikuja kirahs rahs bla kupta kwa mkono wa chuma na kumwaga damu za watu wengi nam ili niweze kujfunza jambo kabla...
1 Reactions
6 Replies
358 Views
Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana...
4 Reactions
4 Replies
608 Views
It has been so long since à well known personel secretary of Mh Mbowe went missing . The where about of the missing went viral to international levels unfortunately the authorities in Tanzania...
13 Reactions
71 Replies
7K Views
Dar es Salaam. Ni kimya kimetawala Kitongoji cha Hiti kilichojificha katikati ya mashamba ya migomba, kahawa na miti mikubwa. Ni katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro wilayani Rombo ndiko...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Baraka zinatoka kwa Baba na baba ndio MUNGU mwenyewe. Baba yako akikubariki hiyo baraka huwa ni uhakika moja Kwa moja. NB: Hapa nazungumzia Baba mzazi anayejitambua na aliyekuzwa katika maadili...
16 Reactions
79 Replies
3K Views
Wasalaam allaykum na Bwana Yesu asifiwe ndugu zangu watanzania wenzangu wa dini zote. Twende moja kwa moja kwenye mada. Dini zote mbili za Tanzania wanaamini kuwa Mungu ni mmoja. Hii ni kweli...
2 Reactions
7 Replies
600 Views
Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika" Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
8 Reactions
24 Replies
974 Views
Back
Top Bottom