Muyabi colors
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 2,679
- 3,828
Chai ya Fatuā¦Chai ya kitanga š Chai imepikwa sio kuchemshwa chai ya mtoto hii yinyi mnaita eti peace au pisi š„ukiiangalia tu unapata hamu kuinywa š
Na Kuna zile chai zenu zile za majani na sukari ukiiangalia inakungāongaš±š¤Ŗš hampiki chai mkatulia chai nayo haiwezi kutulia muda wote mnapika mnakimbia kimbia kama mnahama ama mko ukimbizini kaeni mtulie nyie mnageuka geuka mara huku mara kule š¤£
Wengine mnaweza mkaona ni kama uchafu nasemaje!? huko ni kujifungaš¤£
NIWATAKIE JUMAPILI NJEMA kwakweli šAmina sana tupo pamoja