Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Millie na Christine McKoy walikuwa mapacha wa Kiafrika walioungana waliozaliwa Julai 11, 1851, na Jacob na Monemia McKoy, ambao walikuwa watumwa. Waliuzwa mara tatu kati ya umri wa miezi 6 na...
5 Reactions
10 Replies
405 Views
Wakuu Wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa ni washirikina wamekutwa wakiwa watupu (uchi) alfajiri ya leo Machi 15, 2025, katika madhabahu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi...
7 Reactions
71 Replies
4K Views
Kwanza kabisa napenda kuwatupia lawama Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushindwa kugundua ubovu wa chupa hizi, hizi chupa ni nyepesi sana kulinganishwa na chupa zingine. Hii nimeshuhudia...
3 Reactions
81 Replies
13K Views
Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu ulimwengu wa tatu ili ukuze Ufahamu...
5 Reactions
8 Replies
902 Views
Kuna vitu vichache ambavo kwa asilimia kubwa vimeharibu Sanaa mfumo wa maisha yetu na akili zetu na mienendo yetu. Ni hivi katika maisha 1. JITAMBUE Jitambue we mwenyewe kutoka ndani ya nafsi...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika...
42 Reactions
201 Replies
23K Views
Ni heri ukose vyote lakini usikose akili , maskini anapumbazwa na vitu vidogo vidogo tu maana akili yake haiwezi kutazama hata umbali wa hekari 5 mbele. Maskini anasifia wema wa mbunge kwakuwa...
6 Reactions
16 Replies
774 Views
Ningependa kupewa ufafanuzi wa kiuchumi ni hali ipi huwa ina unafuu A. Mzunguko wa pesa kuwa mdogo ila bei za bidhaa / huduma ni kawaida. Awamu hii ilisifika kwa msemo maarufu vyuma vimekaza...
0 Reactions
67 Replies
4K Views
Wapo watu huwa wanapenda kuficha tabia zao hadi kwa wake zao. Wapo hata humu ni walevi wanakunywa pombe ila wake zao hawajui kabisa wameshawadanganya wameokoka. Niliwahi msindikiza rafiki yangu...
2 Reactions
5 Replies
489 Views
Kwaniaba ya Rais Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekabidhi mitungi ya Gesi 1000, kwa Umoja wa Wajasiriamali wanaopika chakula Mkoani...
2 Reactions
4 Replies
477 Views
Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki. Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa...
4 Reactions
15 Replies
761 Views
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani...
12 Reactions
165 Replies
6K Views
Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Mara ooh "dawa ya ukimwi ipo sema tu anataka tuendelee kufa ili waje waichukue Africa" Mara ooh "hizi chanjo tunazochanjwa ndio zinatufanya kuendelea kudaa akili na tusiweze kuwafikia wao" Mara...
2 Reactions
5 Replies
366 Views
Habari zenu wakubwa, Hivi mama samia anakunja shilingi ngapi mwisho wa mwezi? Maana usikute tunamlaum bure kumbe mshahara tunaomlipa ni kiduchu.
3 Reactions
45 Replies
13K Views
Nchi yenye vituko na maisha ambayo kila siku yakiwa vituko.Kipindi kile cha mnada wa kuuzwa nyumba ni kama huyu mzee kwa sasa ni marehemu alivyo kuja kuchekesha na story zikaishia hapo. CCM...
3 Reactions
4 Replies
394 Views
Wana jamvi kumekuwa na dhana hii ya wachawi kula nyama za watu na hii inajitokeza sana mikoa ya Kanda ya Ziwa, kuna wakati nilikuwa nasoma Bukoba kuna mwanafunzi mwenzetu yeye ni mtu wa...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Kwanza lazima nikukumbushe kitu..! Unapoongea pekeyako uwe makini kwakuwa unasikiliza....halafu unajikosokoa halafu unajiuliza na kujijibu ni wazi unaongea na wewe mwenyewe au na wengine kupitia...
42 Reactions
325 Replies
44K Views
Kama wewe ni mzazi una maisha ya kawaida ya kipato chini ya milioni mbili kwa mwezi please please Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu ukisikia...
2 Reactions
4 Replies
364 Views
Wakuu Kuna kautafiti nimekua nikikafanya kimya kimya,nimegundua familia nyingi za mkoa wa dar huwa hawapiki chakula cha mchana. Tatizo linaweza kuwa nini wakuu?
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom