Na haya ndio maisha

Na haya ndio maisha

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,953
Reaction score
9,063
Kuna vitu vichache ambavo kwa asilimia kubwa vimeharibu Sanaa mfumo wa maisha yetu na akili zetu na mienendo yetu.

Ni hivi katika maisha

1. JITAMBUE

Jitambue we mwenyewe kutoka ndani ya nafsi yako, we ni nani. Yani from inside your soul Who are you. Purpose kubwa katika maisha yako ni nin, ni kuishi vipi, ni kuwa nani na kupitia kujitambua huko utapata majibu ya wapi uishi, wapi ufanye kazi, uwe karibu na Nani, nan hufai kuwa karibu nae na ufanye kipi ili ufanikiwe. Usomee maswala gani kwa ajili ya mstakabali ya maisha yako na jamii inayokuzunguka etc.

2. JIKUBALI
Kubali kwamba Kuna vitu flani huna na huwezi kuja kuwa navyo au utakuja kuwa navyo mda sahihi utakapofika, kubali kwamba kuna maisha flani huwezi kuyaishi na hutokuja kuyaishi au utayaishi pindi wakati wake utakapowadia.

Kubali kwamba wew una baadhi ya mapungufu kadhaa katika maisha na tabia zako mfano. Hasira, Wivu, Maringo, Umaskini, Kipato, Uchoyo, Uwongo, Kukosa umakini katika Mambo yako, Ulemavu, Anti-social, Uvivu etc

3. JIFUNZE KUISHI NA WANAJAMII KINYUME NA MAPUNGUFU HAYO

Ni kwelii una mapungufu mbali mbali katika maisha yako, lakini ukishajua hilo pungufu linakua sio pungufu tena bali ni changamoto ambayo inabidi uigeuze katika mlengo positive iwe chanzo Cha mafanikio katika Mambo yako na jamii kwa ujumla.

Mfano: Igeuze tabia yako ya kuwa na wivu kwa wenye mafanikio na wapambanaji ikufanye na few ujitume na kukusukuma kutaka kufika pale walipo wao.

Umaskini wako ambao tayar umesharealize kwamba ww nikapuku ikufanye kujituma zaidi katika maisha yako, kuangaika na kuwa mbunifu wa shughuli zako zozote ufanyazo na kuwa na moyo wa uthubutu huku ukiappreciate wale waliofanikiwa na kufanya kila unapowaona wawe chachu ya ww kuzidi kupambana zaidi na zaidi kuliko kuwapiga majungu.

4. UTHUBUTU

Haijarishi we ni Nani na uko wapi, lakini kila unae muona yupo juh yako kimafanikio ya kimaisha. Siri ni moja tu, alithubutu ndio pengine alikua na uwoga Kama wako katika kufanya maamuzi ya kile anachokihitaji katika maisha yake, lakini tofauti ya wew na yeye ni kwamba yeye alitia kiroba Cha uthubutu ndani ya pipa lake lake kubwa lililojaa uwoga.

5. ISHI KWA AFYA, FURAHA NA AMANI
Don't bother. Kuna mtu anakuchukia, amewahi kukufanyia vibaya au ana kisema ovyo kwa watu, au anakukatisha tamaa. Don't bother. Mungu amekuweka hai mpaka Leo kwa ajili ya watu wengi Sanaa mfano mama ako, baba yako, marafiki zako na ndugu zako kwa ujumla, lakini pia Mwingine ambaye Mungu amekuweka hai mpaka leo kwa ajili yake ni "hater' (mtu anaye kuchukia, asietaka kukubali,,,asietaka usonge mbele)

Upo hai mpaka Leo ili uendelee kumprove wrong. Mtu anakudharau sababu ya cheo au pesa zake. Mungu anakuweka hai mpaka leo ili umueleweshe ni kiasi gani mshale wa saa hausimami hata kwa mil second Moja.

Usikate tamaa, shida zinapita. Mateso yanaisha, Kudharaulika kutapotea siku flani.

Follow your dreams. Keep hustling.

@KingTino
 
ngoja ni subscribe
 
Al-mukheef
 
Back
Top Bottom