Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi nani anaijua Historia haswa ya ule Mbuyu wa pale ‘Mbuyuni’ kona ya kwenda Oysterbay/Masaki. Maana inashangaza vile umekaa katikati ya Barabara na haujawahi kukatwa!! Sahizi mwendokasi nao...
1 Reactions
15 Replies
937 Views
1) Tembo wawili walilambwa shoti tukala nyama mwezi mzima KILOSA. 2) Pundamlia kahamia zizi la ng'ombe ni fulu maselfie haogopi watu MSAGALI. 3) Fisi anafugwa nyumbani mwa mtu pamoja na mbuzi...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Happy Christmas Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao...
54 Reactions
443 Replies
16K Views
Uislamu (au tuseme Muhammad), anadai kuwa Ibrahimu ndiye aliyejenga Kaabah. Mtu anapochunguza kwa makini jambo hili, ni vigumu sana kuamini kuwa Uislamu uko sahihi. Badala yake mtu unasukumwa...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo. Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa...
1 Reactions
0 Replies
541 Views
Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa...
1 Reactions
2 Replies
661 Views
Habarini wa JF na maisha yakiendelea. Tunakaribia kutimiza mwaka kukaribisha 2023 ila kabla ya kukaribisha mwaka watu au mtu hupenda kujua au kusaisha alichokiacha mwaka huo. Ilikuwa TAHARUKI...
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Tanzania imejaa vipaji – kutoka kwa waimbaji wenye sauti za kuvutia, wachoraji wa ramani za ajabu, wanariadha wa hali ya juu, hadi wabunifu wa mitindo wenye ladha ya kipekee. Lakini je, kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Karibu kufuatilia ajali mbalimbali za vyombo vya moto kuanzia magari,yenu Hadi Ndege. Kwa uchunguzi wangu usio rasmi Huwa ikianza kutokea ajali A elewa automatically kuja nyingine itatokea...
5 Reactions
19 Replies
848 Views
Gazeti la Nipashe la Agosti 17, 2022 limebeba kichwa cha habari "Miili ya Watu yaokotwa kwenye viroba" TANGA: MIILI YA WATU YAOKOTWA IKIWA KWENYE VIROBA Miili ya watu wawili imeokotwa ikiwa...
10 Reactions
116 Replies
15K Views
Vijana wa Tanzania wana njaa ya mabadiliko na maendeleo. Wanajua kuwa siasa ni chombo muhimu cha kubadilisha maisha yao, lakini wanapokaa mezani kujadili siasa, huwa ni ngumu kwa wengi kuepuka...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple...
1 Reactions
4 Replies
843 Views
📖Mhadhara (72)✍️ Ni siku nyingi sana sikutembelea ofisi ya NHIF. Lakini jana nilikwenda kwenye ofisi ya NHIF kuchukua kadi ya Bima ya afya ya mtegemezi, nikaambiwa kuwa sasahivi mambo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo KANISA LATAMBUA KAZI ZA MBUNGE MWAKIBETE, AKABIDHIWA TUZO IBADA YA MWAKA MPYA 2025 Katika...
1 Reactions
6 Replies
561 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao cha pamoja na Wamiliki wa Shamba la Sisal Estate “Kwashemshi” lililopo Wilaya ya Korogwe mkoani...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi...
3 Reactions
7 Replies
549 Views
Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
📖Mhadhara (74)✍️ Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana. Wapo wanaume ambao wana...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Back
Top Bottom