Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Kipo kikundi kinajiita Royal Family. 2. Jamaa Wana ukwasi sio poa. Kwa namna wake zetu walivyo macho juu na tamaa aisee hii ni hatari tupu - WADHIBITIWE --Chief Godlove, Lugumi Undeni group...
20 Reactions
153 Replies
10K Views
Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
imeandikwa kurudi kwa yesu hakutakuwa kwa siri yeye atarudi kila jicho litamwona na mtu akikwambia yupo mahali flani msisadiki wala msimsikilize yesu atarudi na ufalme wote wa mbinguni atakuja...
2 Reactions
8 Replies
595 Views
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha. Tabia ya mbwa hawa...
17 Reactions
97 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Madereva hao 30 walikamatwa...
1 Reactions
11 Replies
643 Views
Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
1 Reactions
8 Replies
727 Views
Anonymous
Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho kuhani amsaidie maeneo ya temboni kuelekea kwa...
42 Reactions
211 Replies
8K Views
Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka? Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya...
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Salaam, shalom!! Najaribu kuangalia tofauti kati ya shanga zinatumiiwa na Waganga, maasai, rozali na misaafu ,zinakuwa na mwonekano unaokaribiana Kwa karibu!! Nini Hasa asili ya shanga, rozali...
0 Reactions
6 Replies
551 Views
Habari naitaji kujua experience ya aliyetumia halotel fiber na 4g ile ya 50,000 ya halotel pia...
0 Reactions
8 Replies
739 Views
Anonymous
Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia...
1 Reactions
2 Replies
447 Views
IPO Hivi kunguni anafanya harakati zake kimya kimya Tena kwenye Giza Ila ukiwasha Taa anatulia. Katika harakati za Maisha yako fanya mambo yako kimya kimya acha matokeo yaongee. Kunguni akiwa...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Punda mmoja huko Kenya katika jimbo la Maragwa amepoteza maisha baada ya kubakwa na wanaume wanne kwa zamu. Wakisimulia tukio hilo, Wanakijiji wa kijiji cha Kamahuha wanasema kabla ya tukio...
4 Reactions
109 Replies
43K Views
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Nisiseme sana.... Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake? Mitandai ambayo ipo tz ni; 1.Tigo...
0 Reactions
9 Replies
555 Views
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi Baadhi ya ndugu...
14 Reactions
103 Replies
3K Views
Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu...
2 Reactions
5 Replies
579 Views
Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom