Nimepata kazi Dar es salaam maeneo ya temeke foma na kuna mtu kanitafutia chumba maeneo ya Tandika kaburi moja kwa Bakar Amadi
Lakini kabla ya kuhamia kama kuna wenyeji naomba mnipe ushauri,sifa...
Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo:
Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao...
📖Mhadhara (65)✍️
Si kila mwanamke au mwanaume ambaye mtakuwa marafiki ni lazima utembee nae au awe mpenzi wako, utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya...
Ikiwa ni siku moja baada ya ya Mkuu wa wilaya ya lindi Victoria mwanziva kuwataka madereva wanaoendesha magari ya abiria stendi kuu ya lindi wawe watulivu na kuendelea kufanya kazi zao za...
Habari wakuu, nataka kuleta historia fupi ya Familia yangu ila sipo vizuri kabisa kiuandishi ila mtanivumilia guys sijui hata sehemu ya kuweka aya ni wapi.
Mimi naitwa John (fake name) nimezaliwa...
Jamii za Kiafrika zilikuwa na mifumo iliyokuwepo ya utumwa, lakini mahitaji kutoka kwa wafanyabiashara wa Ulaya na Uarabuni yalibadilisha kwa kiasi kikubwa ukubwa na asili ya biashara hii...
Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc.
Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu.
"IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE...
Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma...
Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya...
Wakuu salaam,
Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto.
Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh...
Hivi wewe mdau pia huwa unaumia ukiona mwanafunzi kafeli masomo yake. Au na wewe ni miongoni mwa warusha lawama kwa serikali na walimu. Je wewe huwa unabeba effort Gani kunusuru hiyo hali. Mdau...
Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake.
Siku hizi kumezuka mtindo wa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania yenye lengo la kutafuta ufumbuzi...
Wadau mm niko na mshkaji wangu sio msikajii sanaaa jamaa mwenyewe chapombe sanaaa analewa mpaka anazima sasa iko hivi huyoo jamaaa ana demu wake sio mke ni demu kaazaa nae sasa huyoo demu yaaan...
Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na...
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina...
Kiufupi ni rahisi sana kupata habari ambazo ni positive za hizo Nchi kuliko Tanzania.
Social Media users wao wako mitandaoni Kwa Wingi sana na wanazipamba Nchi zao vya kutosha ila kuwapata...
Habari,
Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa?
Ni sheria gani...
Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.