Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,372
- 7,983
Context
Huyo mtu anajiita nabii huwa kazi yake ni kuzunguka pale iringa mjini na kuwapigia kelele wanawake waliovaa suruali.
Huwa mara nyingine anawatukana na kuwadhalilisha sana wanawake pale iringa town na hachagui rangi hata wazungu huwa anawazingua vilevile.
Sasa hii siku huyo mke wa jamaa hapo alikua anazunguka zake mjini si akakutana na jamaa (nabii) ,nabii akamdhalilisha sana kwamba kavaa nusu uchi hizi sio mila zetu apeleke ujinga wake kwao(nabii kizungu kidogoo ipo).
Kiufupi alim'harass sana mbele ya raia
Dada akawa offended sana ikabidi amcheki mume wake chap ,mwamba akafika amejaa upepo hatari,asee wazungu hawapendi kabisa um'harras mke wake.
Hapo mzungu kammind sana na anajaribu kumpeleka polisi,alivyoona anajaza mji akaamua kumpotezea.
But wanawake wengi iringa ni victims kwa huyu mzee,mamlaka mmulikeni huyu nabii.
Moderator nimeweka maelezo usifute tena