Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Research ndogo niliyo Fanya, wanaume wengi karibia 99.9% walio ingia kwenye ndoa, wanatamani kutoka , ila kwasababu ya kuwa na watoto inakua kipengele sana kuchomoka kwenye huo mtego. Kinacho...
1 Reactions
8 Replies
531 Views
1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha. 2️⃣ Kwa...
11 Reactions
59 Replies
2K Views
Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu. Tuwe na mwisho mwema. Hili suala la uhuru kiukweli mimi...
2 Reactions
2 Replies
371 Views
Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34. Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kufanya tathmini ya mashamba ya Serikali ya mifugo yaliyokodishwa kwa wawekezaji na wakiwabaini...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Kwa dunia ya wenzetu mpira ni biashara,ligi zao zinawadhamini,club zina zinaingia mikataba na kampuni kubwa km adidas na n.k. Pia clubu wanauza wachezaji kwa gharama kubwa.l Swali najiuliza kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono. Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono. Karibuni tujadili hili...
4 Reactions
16 Replies
663 Views
Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri Ndugu wanajamii, Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo...
19 Reactions
150 Replies
11K Views
Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara ya Uendelezaji Sera, Bi. Mwanaamani Mtoo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya jitihada kubwa katika kuwawezesha...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Lisemwalo lipo ila ni maono japo na yeye ndio chanzo cha haya kufikia hapa.
3 Reactions
2 Replies
296 Views
KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU Machi, 10 2025, Dar es Salaam Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru...
1 Reactions
2 Replies
705 Views
Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Habari wadau wa Jamiiforums, Juzi nilipata wasaa wa kuongea kwenye simu na mshakaji wangu mmoja wa Nairobi. Dah conversation Ile ilikuwa makini sana nikasema kwanini nisiwaletee wadau hapa JF na...
2 Reactions
2 Replies
519 Views
Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama...
1 Reactions
7 Replies
536 Views
Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya. Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Habari wana JamiiForums Leo nimekuja na hii thread Dunia ya sasa wanawake wengi wameanza kushiriki shughili za uzalishaji mali kwa kiasi kikubwa Hii inatokana na wanawake kuimarishwa kielimu...
5 Reactions
12 Replies
617 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…