Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo...
3 Reactions
10 Replies
974 Views
Salaam JF. Nilikuwa naomba uzoefu wenu wanaJF, hasa katika hizi dawa wa wanazotumia wezi kuwaibia raia wema kuwapulizia madirishani wakati wa usiku wanapolala. Kwanza nilikuwa nataka kufahamu...
28 Reactions
366 Replies
122K Views
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es salaam, Shembiu Shekilaghe (38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujifanya yeye ni Rais...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanafunzi mmoja toka chuo cha Koteti Mkoa Tanga nchini Tanzania anaitwa Bonus Mbono nwenye umri wa miaka 21, amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na kusomewa mashtaka...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki. Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya...
1 Reactions
3 Replies
534 Views
Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna...
51 Reactions
335 Replies
58K Views
Nimetembelea kahama Leo takribani siku ya Tano mfululizo mita Kwa mitaa naona jinsi biashara zilivyoshamiri, Kahama Kuna pool kubwa Sana ya walipa Kodi kiasi kwamba naona TRA kana kwamba hawawezi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyani Ngabu LIKUD Kiranga Mshana Jr Vincenzo Jr Kichuguu kiwatengu Kipenzi Changu Uzi tayari.
6 Reactions
12 Replies
697 Views
Leo ndio naelezwa kuwa watu wengi wanaweza kuzurika kulingana na makabira yao na mazao yao. Nilipata story kuna uchawi ambao unaweza ukawekewa kwenye muembe,mnazi,ndizi,mpapai na mengine ambayo...
4 Reactions
14 Replies
620 Views
Bila kupoteza muda... Hapa kuna baadhi ya mafundisho ya kipagani ambayo yamekuwa yakihusishwa na Ukristo kutokana na mchanganyiko wa tamaduni za kipagani na imani za Kikristo kupitia historia...
10 Reactions
96 Replies
4K Views
Katika project ambazo zinanipa kutafakari ni kuhusu uhai ambao kama dunia unaweza ukafikiria. Physics na kemia kuna kitu kinaitwa ukomo wa kitu sana sana unaegemea kwenye kemea kuhusu mada za...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata...
1 Reactions
6 Replies
632 Views
UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA Anaandika, Robert Heriel Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka...
94 Reactions
116 Replies
12K Views
Mna zile za kusafiri angani kila mwezi. Kuna siku ya wanawake duniani. Siku ya maombi ya kina mama. Kuna mothers day. Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
6 Reactions
15 Replies
534 Views
Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini? Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Zab 105:17-21 SUV [17] Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani. [18] Walimwumiza miguu yake kwa pingu, Akatiwa katika minyororo ya chuma. [19] Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya...
2 Reactions
8 Replies
471 Views
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza...
45 Reactions
174 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…