Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

. Karibu binti na mwana wa mama Afrika. Ili kumuelewa Mungu wa Biblia ni lazima kwanza kuielewa Biblia, chanzo na asili yake. Wengi wananiuliza binafsi naamini nini kuhusu Biblia na mahusiano...
1 Reactions
8 Replies
482 Views
Nimesafiri na mabasi kampuni kadhaa ambazo sitazitaja Kwa majina ili kutochafua biashara zao Nimejihakikishia kwamba Kwa Hapa nyumbani ustaarabu wa kutumia vyoo ndani basi gari likiwa safarini...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia. Mtaani kwetu vibanda vya kujiandikisha vipo ad leo na hakuna watu, watu wanasubiriwa adi...
2 Reactions
3 Replies
446 Views
. Karibu binti na mwana wa mama Afrika. Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho. Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika...
2 Reactions
1 Replies
701 Views
Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna...
1 Reactions
0 Replies
361 Views
Mwaka 2000 Sony walitoa utabiri wa Ps9 itakavyokuwa mwaka 2078 Sijui mwaka 2000 ulikua wapi ? Na umri Gani ? Lakini mnamo mwaka 2000 Sony waliweza kutoa Tangazo la biashara la kushangaza ambalo...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
MKURUGENZI MKUU WA NSSF: DHAMIRA YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUHAKIKISHA WANANCHI WALIOJIAJIRI WANANUFAIKA NA HIFADHI YA JAMII. Awapongeza wananchi kwa muitikio wa kujiunga na kuchangia ili...
1 Reactions
0 Replies
346 Views
Karibu binti na mwana wa mama Afrika. Watu hufanya sala kama sehemu ya mazowea ya kuongea na Mungu. Mbele ya pazia unaongea na Mungu wewe, Nyuma ya pazia unatekeleza mwenyewe. Unaweza dhani...
1 Reactions
0 Replies
545 Views
Habari zenu wakuu, ni jioni sasa, akili yangu inaniambia wacha nishee nanyi Watanzania wenzangu kitu kimoja kuhusu kusave pesa ili kuweza kufikia uhuru wa kiuchumi na kutimiza ndoto zetu iwe...
59 Reactions
153 Replies
16K Views
Mm sio mtu wa siasa ila nmekuwa nkijiuliza haya maswal nkaona nilete Uzi huu nipate kujua ukwel maana mwezi wa 10 sio mbali Nmekuwa nliona tangu mwaka unaanza mama anaenda kuzindua miradi mbali...
2 Reactions
15 Replies
590 Views
Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia...
3 Reactions
14 Replies
996 Views
Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha...
1 Reactions
7 Replies
578 Views
Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa sababu ya kuendelea kumshikilia bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo (29), anaetuhumiwa kumshambulia mkazi wa jijini Tanga Mussa Ally akimtuhumu kuwa ni...
1 Reactions
3 Replies
566 Views
Ni ukweli usiopingika miji miwili hii ya Kanda ya Ziwa inakuwa kwa kasi sana Jiji la Mwanza na Manispaa ya Kahama. Lakini kasi ya ukuaji na maendeleo ya Manispaa ya Kahama inaleta projection ya...
14 Reactions
56 Replies
7K Views
Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto...
1 Reactions
9 Replies
699 Views
Mwanamume mmoja huko Kayole, Kenya anayetambulika kama Evans Kidero Okoth anauguza majeraha mabaya kichwani baada ya ugomvi mkali baina yake na muuza bar, anayetambulika kama Mary Angara. Siku ya...
4 Reactions
16 Replies
749 Views
Mwaka 2017 serikali ilileta utaratibu mzuri mno wa wananchi wa Tanzania kupata kitambulisho hiki muhimu cha Taifa Iliendesha zoezi la kujiandikisha kuweza kupata vitambulisho hivi kila kijiji, na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange...
1 Reactions
1 Replies
345 Views
Back
Top Bottom