Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro. Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuunda jeshi dhabiti kunahitaji uwekezaji mkubwa wa kifedha na bajeti ya ulinzi ina jukumu muhimu katika kupata silaha za hali ya juu, kuboresha miundombinu na kuboresha programu za mafunzo. Bara...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana. Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha. Watu...
1 Reactions
2 Replies
313 Views
Naomba kufahamishwa kwa uchache tu. Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu...
1 Reactions
5 Replies
736 Views
Mimi Mkazi wa Songea Kijijini, Kata ya Liganga katika Jimbo la letu ambalo Mbunge wetu ni Jenista Muhagama, huku tuna changamoto ya ardhi. Miaka 10 iliyopita tuliuziwa eneo na Kijiji ambapo...
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Katika kutathimini namna ambavyo kama taifa linapaswa kuwekeza kwenye elimu ya biashara (ujasiriamali) na ubunifu badala ya vijana kutegemea ajira za serikali, uchunguzi uliofanywa katika miji ya...
16 Reactions
403 Replies
63K Views
WHY? 1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
KIJANA JITAHIDI USIJIPOTEZE UKIWA NA UMRI KATI YA MIAKA 20-30 Katika makuzi kuna mgawanyo wa hatua takribani nne ambapo karibu kila mtu kwa kudra za mwenyezi Mungu huzipitia, Vipindi hivyo...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Waparee mpoooo Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti...
2 Reactions
5 Replies
777 Views
Baraba ya UDART gmboto to kariakoo mkopo 75% SGR mikopo UDART Bunju to Mwenge mkopo Vituo vya afya 214 mikopo 20% ya mikopo vyuo vikuu mikopo Bandari. imepewa mwarabu Uwanja wa ndege wa...
4 Reactions
12 Replies
541 Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea...
0 Reactions
10 Replies
617 Views
Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu, 1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI" 2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu...
4 Reactions
9 Replies
720 Views
Wakuu, Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza...
42 Reactions
157 Replies
7K Views
Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Tanzania, liliagizwa na Makamu wa Rais Hon Philip Mpango kuhakikisha wanavaa kamera ambazo zitaonyesha vitendo vyao vyote wawapo barabarani, hapa namaanisha Traffick mnamo...
3 Reactions
11 Replies
838 Views
husika na maada tajwa hapo juu, Tunaomba wahusika waendelee kuchakata namna nyingine yakisasa zaidi ya ving'amuzi, kama inawezekana hata majumbani tutumie mfano wa vile vung'amuzi vya kwenye...
0 Reactions
4 Replies
450 Views
Hakuna mtu asiyependa kufanikiwa kikazi, kielimu, kibiashara, kiafya, katika ndoa nk. Mwaka unapoanza watu wengi huwa wanajiwekea mipango na mikakati ili wapate mafanikio. Hapa nakuorodheshea...
32 Reactions
87 Replies
4K Views
Wakuu kwa jicho la kibiashara jina la Lissu ni brand inayoweza kuuza kwa hapa bongo. Unadhani ni bidhaa gani inaweza ku-fit hilo jina na kufanya vyema sokoni? Binafsi nimefikiria pombe kali na...
2 Reactions
5 Replies
356 Views
Back
Top Bottom