Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Seminari hizi za kikatoliki hawana habari na mtoto wa maskini.
Nilimpeleka mtoto wa ndugu yangu aliyesoma shule za serikali kufanya interview kwa...
Wizara ya Afya imepokea tetesi za uwepo wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera.
Kufuatia tetesi hizo, Wizara imechukua hatua kadhaa za haraka ikiwemo: kutuma timu ya wataalamu; kufanya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania.
Taarifa ya shirika...
Mimi nachukia rushwa sana, na suala la rushwa kwa trafiki polisi nimelikemea sana humu JF na kwenye mitandao mingine.
Ila nachukia zaidi mtindo wa viongozi kujifanya watendaji bora na wasafi...
Huyu nimemuona leo hapa nilipo ni chura Mweupe sijawahi kumuona chura kama huyu aisee hapa nikifungua Tourists Centre si nakula hela za kutosha au? Waje kumuona tu wakachangia dollar 5 kwa kichwa...
Wale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani...
Mtaalamu wa Uchumi wa Umoja wa Mataifa amesema kiwango Cha Uzazi Nchini Tanzania kinazidi kupungua kutoan wastani wa 6.5 Hadi 4.5 jambo ambalo ni hatari Kwa Nchi kama Tanzania ambayo inaendelea...
Hali ya taharuki na vurugu vimeibuka katika Mtaa wa Elkiroa Kata ya lemara Mkoani Arusha baada ya Wananchi kuweka kambi katika Familia ya Kijana Elibarik Tarimo kwa siku tatu baada ya kudaiwa kuwa...
Wakuu,
Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Dkt. Adolf Mkenda amesema wizara hiyo itatuma timu ya wataalam Shule ya Sekondari Baobab iliyopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuchunguza kwa...
Acheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako!
https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana.
Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa...
Habari za Leo?
Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC).
Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku...
"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu:
Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia...
Kuhusu maendeleo ya kiteknolojia, Africa hatujalogwa na wala hatuna udhaifu wowote ule wa kimwili au kiakili unaotufanya tuwe nyuma kiasi hiki, bali ni mazingira ya makusudi tuliyowekewa na...
Je, unamfahamu madhara ya condom iliyotumika ambayo utupwa ndani ya Choo ao jalalani ambayo ndani yake mna manii. Hivi unajua kazi yake ni ipi kwenye ulimwengu wa roho.
Habari Tanzania !
Nipenda kuweka maombi kwenu ewe SERIKALI na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mkishirikiana na Makampuni ya huduma ya Mawasiliano nchini.
Endapo na ikiwapendeza mtoe huduma za...
Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.
Ukoloni unapoisha...
Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi
Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati.
Hii vita ya majibizano kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.