Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimezunguka maeneo mengi ya Dar es salaam kwa mtizamo wangu ni haukufanyiwa planning! Stendi za daladala vimetengenezewa msongamano mkubwa mno na kelele nyingi saana zisizokuwa na tija. Mfano...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Salaam, Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wanaJf, Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii NI Kwa Watibeli wote. Wenye HAKI na kupenda Haki, wenye Upendo na kuupenda huo upendo, wenye Kweli na kupenda yaliyokweli, wenye Akili na kupenda maarifa na...
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari wakuu, Picha hapo juu inajieleza, Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima. Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
nilikuwa naishi mtaa flani hapa jijini, Dar es Salaam. Nyumba yangu ilikuwa ndogo lakini ilitosha kwa mahitaji yangu. Hata hivyo, kuna kipindi ambacho maisha yangu yaligeuka kuwa magumu sana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha . 2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani...
11 Reactions
103 Replies
4K Views
Hii ndio hali halisi utakayo kutana nayo kilometa 660 kutoka Dar es Salaam na kilimeta 122 kutoka Nachingwea. Katika kijiji cha Kiegei kila tarehe 25 ya mwisho wa mwezi, baada ya mnada wa bidhaa...
3 Reactions
25 Replies
14K Views
Habari wana JamiiForums. Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni...
11 Reactions
69 Replies
3K Views
Elimu bora ina fanya mambo matatu: 1. It will help you to acquire power. 2. It will help you to maintain power 3. It will help you to protect power. Kwa bahati mbaya sana mfumo wa elimu yetu...
2 Reactions
304 Replies
15K Views
Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka...
2 Reactions
2 Replies
495 Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, amesema Siku ya Mlipakodi ni tukio maalum linalolenga kutambua na kuwashukuru walipakodi wa kada zote kwa mchango wao...
0 Reactions
4 Replies
558 Views
Mwamba alisema akishindwa uchaguzi atarudi kukomaa na biashara zake. Kwa unyenyekevu kabisa naomba uturudishie Bilicanas, kwa niaba ya walevi wote.
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi, Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na...
1 Reactions
3 Replies
630 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi...
1 Reactions
2 Replies
681 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba, Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Back
Top Bottom