Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia...
3 Reactions
14 Replies
996 Views
Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha...
1 Reactions
7 Replies
578 Views
Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa sababu ya kuendelea kumshikilia bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo (29), anaetuhumiwa kumshambulia mkazi wa jijini Tanga Mussa Ally akimtuhumu kuwa ni...
1 Reactions
3 Replies
565 Views
Ni ukweli usiopingika miji miwili hii ya Kanda ya Ziwa inakuwa kwa kasi sana Jiji la Mwanza na Manispaa ya Kahama. Lakini kasi ya ukuaji na maendeleo ya Manispaa ya Kahama inaleta projection ya...
14 Reactions
56 Replies
7K Views
Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto...
1 Reactions
9 Replies
698 Views
Mwanamume mmoja huko Kayole, Kenya anayetambulika kama Evans Kidero Okoth anauguza majeraha mabaya kichwani baada ya ugomvi mkali baina yake na muuza bar, anayetambulika kama Mary Angara. Siku ya...
4 Reactions
16 Replies
749 Views
Mwaka 2017 serikali ilileta utaratibu mzuri mno wa wananchi wa Tanzania kupata kitambulisho hiki muhimu cha Taifa Iliendesha zoezi la kujiandikisha kuweza kupata vitambulisho hivi kila kijiji, na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange...
1 Reactions
1 Replies
345 Views
Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini...
3 Reactions
17 Replies
775 Views
Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea. Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje...
4 Reactions
2 Replies
540 Views
Ushawahi jiuliza ukisikia spika wabunge nchi fulani ndani ya bunge akitoa maamuzi nchi nzima husimama kwa umakini kabisa kujua nini kinaelezwa. Tofauti na huku kwetu japo ilikuwa zamani kipindi...
3 Reactions
6 Replies
363 Views
Wachina wameweza kutest bidhaa zao sana Afrika kwa sababu kadhaa. Moja ya sababu kuu ni kwamba Afrika inatoa soko lenye uwezo mkubwa wa kupokea bidhaa za bei nafuu, huku kukiwa na mahitaji makubwa...
3 Reactions
5 Replies
557 Views
Wasalaam Wakuu mwezi huu ni wa heri kweli Madhehebu makuu mawili kwa asilimia kubwa wako katika mfungo,japo kila moja lina namna yake na makusudi yake,lakini lau wote wanalenga kuwa na mahusiano...
3 Reactions
1 Replies
348 Views
Viongozi jiji la Mwanza mko wapi kwa haya yanayoendelea stand za kuu za mabasi ya kwenda mikoani tena stand zote mbili hawa watu wanaokatisha tiketi za kuingia ndani ya stand wamejiwekea utaratibu...
2 Reactions
8 Replies
559 Views
Ingawa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imepiga hatua kubwa katika kuchora na kuzalisha picha za binadamu, bado kuna changamoto kadhaa katika kuonesha viungo vya mwili kwa usahihi. Hii inatokana na...
2 Reactions
6 Replies
928 Views
ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO MOSSHI Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani...
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
7 Reactions
3 Replies
388 Views
Zab 104:34 SUV [34] Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia BWANA. Tunaweza kutafakari jambo kwa uzuri au kwa ubaya, inategemea umejikita haswa kwenye kitu gani wakati unafanya...
2 Reactions
0 Replies
233 Views
Back
Top Bottom