Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Her cherish, Her smartness Kujichanganya Anapenda mambo mazuri mazuri, Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe. Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma...
6 Reactions
24 Replies
758 Views
Kuna bwana mdogo mtoto wa jirani yangu tulikuwa naye hapa Dom alimaliza chuo akakosa ajira ikabidi aje tupige naye mishe za kuuza majeneza angalau apate japo pesa ya kula na tumekuwa naye hapa for...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyoko Kinondoni, imeshindwa kuanza usikilizwaji wa kesi ya kumjeruhi na kutishia kwa silaha ya moto (bastola), katika klabu ya usiku (Night Club) 1245, Masaki...
1 Reactions
12 Replies
991 Views
Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika Agano la Kale, hakuna ushahidi unaoonyesha kwamba Jumapili ilikuwa siku ya ibada kwa waumini. Badala yake, Agano la Kale linaweka msisitizo juu ya Sabato, ambayo ni siku ya saba ya juma...
1 Reactions
15 Replies
910 Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili...
1 Reactions
1 Replies
418 Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Mwenye nguvu amkaa! mwenye weledi changamka wewe!... shida nini? . Tunataka nchi isonge mbele, tunataka tufanane na mataifa makubwa ya Ulaya , tuwe na miundombinu ya kisasa kama viwanja bora vya...
3 Reactions
3 Replies
273 Views
Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day 📅 Tarehe: 22 Februari 2025 📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima Mwenyekiti wa Chama...
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Baada ya mtoto aliyekuwa anatoka shuleni kutumbukia mtoni wakati akivuka daraja, wananchi wa kitongoji cha Kilovoko kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe wameamua kufanya matengenezo ya...
1 Reactions
2 Replies
295 Views
Baada ya mvua kuisha, mwavuli unakuwa mzigo kwa kila mtu. Ndivyo uaminifu unavyokwisha pale faida zinapoisha. Ukweli mchungu? Watu wengi maishani mwako wapo hapo kwa sababu wanapata kitu kutoka...
1 Reactions
2 Replies
335 Views
kiwa ni siku nne zimepita mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha kuagiza kuondolewa kwa Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoa wa Tabora, Mayala Mburi kwa tuhuma za...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
MHE. KATIMBA: SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule Maoni na ushauri wako please
6 Reactions
105 Replies
4K Views
Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu...
1 Reactions
2 Replies
448 Views
Assalama leko. Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
1 Reactions
10 Replies
717 Views
Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom