Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way. Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga...
2 Reactions
9 Replies
603 Views
Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama unataka kulala njaa tegemea pesa ambayo ipo kwenye mfuko wa mtu mwingine. Usiache jua lizame kwa kuendelea kusubiri hela ambayo umeahidiwa kupitia kauli zifuatazo; (a) "Usijali leo uhakika...
6 Reactions
13 Replies
906 Views
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Unaweza usiamini lakini ndivyo hali ilivyo katika eneo moja jijini Dar es Salaam, ambalo limegeuzwa kuwa soko la wazi la kufanyia vitendo vya ngono hadharani. Eneo hilo lililopo Mbagala Zakhem...
3 Reactions
92 Replies
53K Views
Wanabodi, Salaam.. Nimewiwa kuja na bandiko hili usiku wa leo kutokana na changamoto nilizokutana nazo barabarani. Kila mtu anafahamu kwa sasa nchi yetu imepiga hatua kwa namna fulani katika...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna uhusiano gani wa mtoto kuumwa umwa mara achemke mara infections yaani taflani nakosa raha mkienda hospital hana ugonjwa mtoto anakaribia mwaka kuna mtu kanambia eti nimpeleke nyumbani...
2 Reactions
11 Replies
500 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za...
1 Reactions
7 Replies
730 Views
Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa. "Hili dela ni bei gani?" "Hivi viatu ni bei gani?" "Hili...
2 Reactions
9 Replies
508 Views
Wakuu Joseph Mbilinyi Mwenyekiti wa kitongoji cha Dombwela wilayani Makete mkoani Njombe baada ya wizki kukithiri na kufanikiwa kumkamata mmoja ya watuhumiwa amemfikisha mkutanoni na kuwataka...
2 Reactions
5 Replies
390 Views
Japo alikuwa CCM wenye idadi kubwa ya chawa kupitia mapambio na kwaya Zabron singers ila kuna sehemu alikuwa na yake ambayo naona wanamsifu mtu mwengine kuwa ni yake. Kitendo cha kuivunja Dar es...
0 Reactions
7 Replies
482 Views
Hali ilivyo sasa Hali ilivyokuwa Miundombinu ya Shule ya Msingi Kamama ikiwemo Vyoo na Madarasa imefanyiwa maboresho ikiwa ni miezi kadhaa yangu kuripotiwa kuwa imechakaa na inahatarisha...
2 Reactions
2 Replies
642 Views
Mchungaji Kiboko ya Wachawi amesema kwamba Rais Samia atapita tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafsi ya urais. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
16 Replies
759 Views
Wananchi na wafanyabiashara wa stendi mabasi ya Mlowo wamekoshwa na hatua za utekelezaji wa umaliziaji uliokuwa ukisua sua muda mrefu wa vibanda na miundo mbinu yake. Wafanyabiashara hao...
0 Reactions
3 Replies
414 Views
Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma nchini PPRA, imefungua ofisi za Kanda ya kusini zitakazokuwa katika mkoa wa Mtwara, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdlah Mwaipaya ameongoza zoezi Hilo...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ,Bw Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia...
2 Reactions
4 Replies
365 Views
Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo. Akizungumza...
0 Reactions
2 Replies
345 Views
Back
Top Bottom