Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha.
Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo...
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze...
Miaka michache iliyopita tulimpoteza Elvis Tables Musiba aliyekuwa Mwenyekiti wa TPSF (Tanzania Private Sector Foundation). Mwaka jana tukampoteza Sir. Andy Chande aliyekuwa kiongozi wa sekta...
Karibu mara zote uwepo wa rangi ya udongo mwekundu ardhini husababishwa na kutu. Chuma kikikutana na hewa ya oxygen na maji hutokeza kutu. Maeneo yenye udongo mwekundu huwa na ardhi yenye madini...
Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya...
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4...
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti...
Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora.
Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa...
Kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza ukienda pale Ferry Kigamboni kwenye kivuko kuna uwekazaji umefanyika na Azam yaani unaona kabisa kuna maisha sasa Kigamboni na watanzania wanaishi kwa...
Naleta kwenu hili wadau naimani mtanishauri vyema. Nataka kucha kazi yangu ya ualimu niliyodumu nayo Kwa miaka mitano(5).
Sababu kubwa za kuacha kazi.
( 1) Nilicho kitegemea na nilichokikuta ni...
Mathayo 7:13-14 SRUV
[13] Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. [14] Bali mlango ni...
Siwezi kushangaa waziri mkuu akilalamika kuwa serikali kupitia mfumo wa kukusanya malipo wapigaji wakiwa wengi mpaka wengine kupelekwa mahakamani.
Siwezi shangaa kuona TRA,bandari na mifumo ya...
Sijui na bahati mbaya YAAN kila siku nikiangalia taarifa nakuta jamaa wanaelezea wahusika wamechekewa kutia taarifa moto ULIKUWA stage mbaya imesambaaa
Sasa tunasaidianaje na hiliiiii
Hili n...
Suala la matuta barabara ya Cheka - fery eneo la shule ya Meka na Dege centre. Pale shule ya Meka ndio kuna zebra kwa ajili ya shule ile yenye wanafunzi wengi tu wanaotoka mpaka Pemba, Mnazi na...
Maudhui yanayotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba yanaweza kutumiwa kupotosha Uhalisia hivyo ni muhimu kujifunza namna ya kutofautisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo...
Serikali imesema ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 litakalogharimu kiasi cha Shilingi Bil.1.3 hadi kukamilika kwake lililopo Kata ya Mpui, Halmashauri ya Wilaya...
Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam
Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.