Msingi wa sheria ya Usalama Barabarani
Msingi wa kuwepo sheria hii ya Usalama Barabarani ni kutokana na maendeleo ya kiteknolojia na usafiri ambao binadamu ameubuni kurahisisha utendaji kazi...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amewataka wanawake kutokubali vipigo na manyanyaso katika ndoa kwa kisingizio cha uvumilivu.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani...
Huu ni uzi maalum wa kujulishana ubora wa huduma wa mabasi yanayotuhudumia nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yake.
1. SCANDINAVIA EXPRESS (Kielelezo/mfano wa kampuni Bora kabisa ya...
Binti mmoja wa Nchini Uhispania Noelia (23), amepanda kizimbani kutoa ushahidi Mahakamani ili kumshawishi Hakimu amruhusu kufariki kwa hiyari yake baada ya Baba yake Mzazi kufungua shauri...
Mitaa ya IG, Twitter (X), JF, na kwingine ni kama jungle ukikosa Emotional Quotient (EQ) ya kutosha, unaweza kuingia kwenye mabishano makali, ukijitoa ufahamu, kumbe mwenzako ni mwanafunzi wa...
Ama kweli usiku wa deni haukawii kucha. Mnamo tarehe 2 January 2025 tuliambiwa mwezi Machi mabasi mapya ya mwendokasi yangewasili na kumaliza adha ya usafiri kwa njia za dart. Je huwa...
Habari ,
Nimepata taarifa kuwa, T.RA inawatangazia Watu kuwa Kuna mfumo mpya unatakiwa kuanza matumizi mwezi February 2025,
Mfumo huu unampa access ya Moja Kwa Moja mteja mwenye tin namba kuweza...
WAZIRI MHAGAMA AAGIZA VITUO VYA AFYA VISIVYOFUATA SHERIA KUSHUGHULIKIWA
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama ameitaka Bodi ya 11 ya Ushauri ya Hospitali Binafsi kuhakikisha vituo vinavyoomba usajili...
Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu.
Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio...
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama...
Upotoshaji hufanyika kwa njia nyingi ikiwemo kusambazwa kwa jumbe zinazodaiwa kuwa ni zawadi zinazotolewa na Mashirika ya kimataifa kama vile UNICEF na mengine.
Ukutanapo na taarifa za aina hii...
Kuna wakati nilikuwa naona makomando wanaambatana na Mbowe japo sikuwa na uhakika kama ni makomando maana upepo ukivuma walikuwa wanatikisika kirahisi.
Swali! Je, walikimbilia wapi?
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu...
Rejea kichwa cha mada hapo juu.
Nawakumbusha wale wote walioenda kupaka majivu jana na jana walianza mfungo ila leo wanaendeleza yaleyale ya hapo kabla na wanasema wamefunga mfungo wa Kwarezima...
Hahahahaa NIMEIPENDA SANA hii dini
Nasikilizia channel ten mambo yetu ya kufungaaa
ANASEMA sheikh wangu kama ikitokea una hamu yoyote na mkeo KIPINDI hiki cha mfungo
Ikitokea ukampitia mchana...
Wafanyakazi wa kampuni ya Barrick nchini kwa mara nyingine wameshiriki mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na kujumuisha wadau mbalimbali kutoka...
Maisha kwa madiba ni magumu sana ila bado watanzania kutoka uswazi wakiamini maisha yapo kule.
kilichonishangaza yani mtu kashindwa kufanya kazi kuuza barabarani anafika kule na kuanza kuuza hiyo...
Vikundi 126 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, iliyopo mkoani Songwe, vimepokea mikopo ya 10% kutoka mapato ya ndani ya halmashauri hiyo awamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.