Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core...
Habari wadau,
Upande wangu niko salama naendelea na vizuri na swaumu ya Ramadhan, japo janga la maji ni kubwa hasa kwa wakazi wa maeneo yanayohudumiwa na mto Ruvu juu kwa huduma ya Dawassa...
..Jenerali Jacob Mkunda alipokwenda kutoa pole kwa familia ya marehemu Sajent Mohamed Abdala Suleiman.
===
"Mishoni mwa mwaka uliopita (2024) kikundi cha vijana wenye silaha wakijiita M23...
Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia.
Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka...
Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi...
Wapendwa katika Kristo
Tumsifu yesu Kristo...
Nawakaribisha waumini wote wa kanisa Catholic na wengine wote wanaoshiriki mateso ya bwana Yesu kristo kwa kufunga na kujielekeza mbele zake MUNGU...
GTs,
Naona kuna wizi unaendelea kwenye mizigo kwenye SGR. Kwenye ticket haioneshi kiwango cha uzito kinachoruhusiwa ila wapimaji ndiyo wanakadiria. Kibaya kabisa inaonekana ukila kilo inayozidi...
Habari za jioni mabibi na mabwana.
Kama kichwa cha habari kinavyosema kuuliza si ujinga!
Mimi ni muislamu ila hupenda kujua pia habari za watu wa dini nyingine!
Swali langu ni kama ifuatavyo:
1️⃣...
Wasalaam
Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao
Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko...
Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka...
Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha...
Najua hii mada itawashtua wengi na wengine watapanda munkari ila embu tuelewane kwanza kabla haujajibu kwa jazba.
Kwa tathmini yangu ya muda mrefu ni kuwa mji wa Dar es Salaam umejaa watu wasio...
Mwenye taarifa yoyote aiweke humu nasikia hiki chama cha walimu kimeshinda rufaa yake na kimeruhusiwa kufanya kazi zake kama hapo awali.
Ni chama ambacho kilianzishwa kama mbadala wa CWT chama...
Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa...
Naomba kujuzwa wanasayansi na watafiti waboɓezi.
Mfano: Sato, sangara na yule mwingine mrefu kama nyoka (mumy) wanapatikana ziwa Victoria tuu,
Hivi kweli lake nyasa na lake Tanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.