Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.
Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria
Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.
Hawa ni wadudu...
Maandishi haya, I.N.R.I., yanatokana na Kilatini:
Iesus = Yesu
Nazarenus = Mnazareti
Rex = Mfalme
Iudaeorum = Wayahudi
ambayo maana yake ni "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi."
Maneno haya...
Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation...
Hakikisha Taarifa unazozisambaza kwa watu wengine unazithibitisha kwanza uhalisia wake ili kuepuka Taarifa Potofu kwani zinaweza kusababisha taharuki katika jamii.
Tumia Jukwaa la JamiiCheck.com...
Siku moja jamaa yangu mmoja kutoka kijijini alinipigia simu akaniambia, "Kaka, nimefika mjini!" Nikamuuliza, "Umefika wapi?" Akasema, "Posta, daraja la Salender Bridge." Nikashangaa, maana...
ACCEPTANCE:
Kujifunza kukubaliana na hali yako. Yani uta-enjoy hata vidogo maisha itakayo ku-offer, tofauti na hapo kila asubuhi utaamka na stress.
Kutuliza kwanza hisia ili niikaribishe akili...
Maybe JF has become a circus, na siwezi kumlaumu yoyote maana kila enzi ina hatua yake na kila hatua ina enzi yake.
Sasa sijui ni hali ya kisasa ya hili jukwaa ndio inawakimbiza wachangiaji kuntu...
Sidhani kama muongozo wa Dini unataka hivyo hapa wanazuoni watanisaidia mimi siyo mtaalamu sana katika elimu ya kutoa sadaka.
Wiki iliyopita sheikh wa Mkoa wa shinyanga Sheikh Ismail, alifanya...
Ndugu watanzania kuweni makini na CCM, imeshaanza figisu mapema yote hii.
CCM haina hata aibu imetoka msituni na sasa inapita mtaani kuomba namba yako ya simu au namba yako ya kadi ya mpiga kura...
Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu
Akizungumza katika...
Wakuu twende kwenye point 👉 iko hivi mara nyingi mimi huwa naota nipo shule yaani O-level, unakuta hata shule tuliyopo no ya Msingi lakini wanafunzi tuliyopo hapo ni wale niliyosoma nao sekondari...
BARUA YA WAZI KWA RAIS @SuluhuSamia
Mhe. Rais, ninaamini barua hii inakukuta ukiwa na uzima tele. Nina takwimu kidogo nahitaji kukushirikisha.
1. Shule ya Sekondari Chamazi hapo jijini...
Kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) imetembelea mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa uliopo chini ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na kueleza...
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini...
Waafrika hatuendelei sababu ya wizi, wengi wanaokabidhiwa kitengo wanafilisi serikali.
Vivuko vya kigamboni vimetushinda, magari ya mwendokasi yametushinda, reli ya tazara imetushinda wamepewa...
HabariJF
Msaada wapendwa, Naomba kujua gharama za utarii wa ndani, kwa mtu mmoja or pair iwe serengeti, mikumi, ngorongoro, rubondo n.k.
Pia sehem ya mapumzko gharama zake bila kusahau msosi...
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi
Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.