Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake. Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Countries with the Highest Percentage of Atheists: ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China: 91% ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan: 86% ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Sweden: 78% ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Czech Republic: 75% ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง United Kingdom: 72% ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Belgium: 72% ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช Estonia: 72% ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia: 70% ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด...
9 Reactions
86 Replies
4K Views
Nimeisoma hii hadi damu imenichemka. February 15, 399 BC alifariki na sasa watoto wao wanataka washike madarakaโท
3 Reactions
0 Replies
172 Views
The United States has reportedly sold 1,000 โ€œimmigration gold cardsโ€ โ€” special visas offering residency for $5 million each โ€” generating $5 billion in just one week. According to official Howard...
1 Reactions
3 Replies
367 Views
Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijui ni kwanini mara kwa mara huwa unashindwa kuitumia hiyo Masters Degree yako unayotamba nayo kuepuka Mitego.
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Video inajieleza
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Abiria wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) maarufu mwendokasi wameelezea malalamiko yao baada ya moja ya mabasi hayo kuvuja maji wakati wa mvua jijini Dar es Salaam. Katika video iliyosambaa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Video hii inaonyesha abiria wakiwa wamejaa kupita kiasi na Dereva akashindwa kufunga milango hii ni sio kitu kizuri mamlaka iangalie
3 Reactions
24 Replies
1K Views
MLANGO WA NANE Mnamo march 2015, mdau wa JF anayejulikana kwa jina la Pucilio alileta uzi ambao unahusisha watu na mikosi kwenye maisha ya ndoa. Alisema kwamba kuna aina ya watu wana mikosi ya...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Aura ni nishati au mwanga wa kipekee unaozunguka mtu, mnyama, au kitu, ambao unadhaniwa kuonyesha hali ya kihisia, kiroho, au afya ya mtu huyo. Katika imani za kiroho na metaphysics, aura...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mashariki ya congo yaani Rwanda na sudan.na kuna mashariki ya kati hii migogoro Toka nazaliwa naikuta.. mashariki ya congo anakula Belgium Yuko mezani na washirika wake wa ulaya.. Mashariki...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe. Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna...
27 Reactions
78 Replies
3K Views
Mvumbuzi wa Zimbabwe Awasilisha Gari la Umeme Linalojiendesha Bila Kuchaji: Mapinduzi Katika Teknolojia ya Magari Mvumbuzi wa Zimbabwe, Maxwell Chikumbutso, ameunda gari la kwanza la umeme...
15 Reactions
60 Replies
4K Views
https://worldpopulationreview.com/country-rankings/happiest-countries-in-the-world
1 Reactions
15 Replies
598 Views
Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini? Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini? So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex. Acheni utoto...
27 Reactions
125 Replies
4K Views
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito? Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya...
16 Reactions
79 Replies
3K Views
Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana. Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza. Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei...
1 Reactions
17 Replies
639 Views
Naomba radhi kwa Maneno kadhaa Makali yaliyomo, ila Kikubwa tu naomba tuyasikie yale ya maana / muhimu ambayo kayasema ambayo kwa 100% yamesababisha Wanaume wengi kuwa na Nuksi nyingi na kila Siku...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ