Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA, Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo...
1 Reactions
0 Replies
249 Views
Kwanza niwapongeze Kwa huduma zenu nzuri !!! Kwahilo mko viruzi namaanisha Hamna makato ya ajabu ajabu kama baadhi ya bank nyingine hapa inchi !!your good guys kwahilo!!! Tatizo lipo kwenye mobile...
1 Reactions
1 Replies
262 Views
Habar , naomba mshana jr uonapo uzi huu ni dm plz plz
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki ! Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Ndugu zangu habari za muda huu, naomba kujuzwa kwa mabaye nafahamu MKOA wa MWANZA Halmashauri ya wilaya KWIMBA sehemu inaitwa ICHEJA. Hali ya hewa ya maeneo hayo ipoje? Ni umbali gani kufika...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
21 Machi 2025 Miji nchini Ufaransa na Ubelgiji imekuwa ikitoa kuku bure kwa miaka mingi ili kukabiliana na upotevu wa chakula. Karibu na Pasaka mwaka 2015, mji wa Ufaransa wa Colmar ulianza kutoa...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Mh Rais ni wiki ya maji lakini kinyerezi hatuna maji. Tumewalilia watendaji wa ukanda huu bila mafanikio. Inavyoonekana upande huu unachangamoto na inakinzana nanmamlaka. Mh Rais hii...
1 Reactions
12 Replies
617 Views
Ni tamaduni kwa kila siku Jua kuchomoza alfajiri na kuzama jioni, kisha kiza kutawala. Lakini hii ni tofauti kwa baadhi ya nchi ambazo kwao jua kuzama ni kama maajabu kwao. Nchi hizo ni Sweden...
16 Reactions
48 Replies
8K Views
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamani Sedoyeka amesema chuo hicho katika mwaka wa fedha 2025/2026 imejipanga kuwekeza zaidi ya shilingi bilioni nne(4bilioni) katika teknolojia za...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
MGODI wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na Wakinamama chini ya uenyekiti wa Asha Msangi umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025. Mgodi huo...
2 Reactions
3 Replies
385 Views
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Kwanini Zanzibar hakuna jiji? Mfano, Jiji la Pemba au Unguja au hawakidhi vigezo?
2 Reactions
5 Replies
451 Views
Naibu katibu tawala wa wilaya ya Arusha mjini akera wananchi baada ya kuwajibu wananchi acheni ujinga na wananchi kugoma kumsikiliza waamtaka aondoke Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga...
15 Reactions
133 Replies
4K Views
👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Kati ya tatizo la watu wengi ni kutofahamu dalili za kuonyesha kwamba wamefungwa na nguvu za giza.... Na vifungo vya nguvu za giza ni mojawapo ya mkakati mkubwa wa kuzimu kiasi ambacho...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Amani kwenu watumishi wa MUNGU wote Waislamu wilayani Chato Mkoa wa Geita wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kusaidia kukamilisha ujenzi wa Msikiti wa Al-huda unaojengwa katika Kata ya...
1 Reactions
10 Replies
715 Views
Nimesikitishwa kuona watu wamekamatwa baada ya kuzuia watu wasio na sifa kuandikishwa kupiga kura kwasababu hawana sifa, baadhi yao nimesikia katika vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kuwa...
0 Reactions
4 Replies
452 Views
Back
Top Bottom