Hivi majuzi TRA wametangaza ajira kwa vijana nza taarifa tulizo nazo ni kuwa vijana zaidi ya 100,000 wameomba kazi TRA.
Mimi nina ushauri kuhusu ajira hizi. Tanzania Bara tunayo Halmashauri 188 na hivyo basi hizi nafasi za ajira zigawanywe sawa kwa Halmashauri hizi 188 na Halamshauri zitawatafuta vijana wenye sifa na kufanya usaili na hatimaye kupeleka majina ya vijana waliofaulu TRA ili waajiriwe. Kwa mtindo wa sasa kutakuwa na upendeleo mkubwa sana ya undugu, kabila, dini, mkoa n.k.
Tufanye haki kwa vijana wetu na tusiwe na upendeleo.
Nawasilisha.