Wasalaam wanajamvi
Nimeguswa na tukio la Kanisa la Mtume na Nabii Mwamposa kuhusishwa na vifo vya waumini 20 katika viwanja vya Ushirika Moshi. Nimeguswa kwakua Mimi ni muumini wa waamini (wale...
UTARATIBU UNAOTUMIKA NA PSRS KWENYE MCHAKATO WA USAHILI SIO STAHIMILIVU KWA WASAILIWA, HAUZINGATII GHARAMA ZA MCHAKATO KWA WASAILIWA, NA HAUNA UWAZI KWA WASAILIWA WARUDISHE ONLINE ITASAIDIA...
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa...
Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa...
Abiria wamenusurika kifo kufuatia ajali ya basi la New Force liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma kugongana na malori matatu maeneo ya Mlima Nyoka jijini Mbeya ambapo baadhi ya...
KIWANDA CHA MIPIRA YA MIKONO (gloves) KIMEANZA KAZI
Bohari ya Dawa (MSD) imeanza uzalishaji wa mipira ya mikono katika kiwanda cha Idofi mkoani Njombe.
Mwezi Februari 2024, Serikali iliiwezesha...
Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye...
Naamini wahanga wa sms za kugangwa mnazipata. Hawa waganga wa kienyeji nani anawapa namba za simu maana wanahisi kila mtu ni muumini wao wanatuma sms kila wakihisi umepata mshahara
Unaweza kumkuta mtu kichaa anaoga, anapiga mswaki, anakula majalalani, analala popote nje kwenye mazingira machafu, lakini yupo fresh tu na hapati magonjwa. Jibu ni kwamba hajui kama kuna...
Swali hili limekuwa likijirudia mara kwa mara, hasa tunapojaribu kulinganisha tamaduni na mtazamo wa maisha kati ya Tanzania na Kenya. Ingawa furaha ni hisia ya kibinafsi, kuna mambo ya kijamii...
Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli.
Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kumekuwa na makundi mbalimbali yanasema na kujinasibu kumchangia Rais Samia fedha ya kwenda kuchukua fomu ya kugombea Urais. Je, hadi sasa imefika...
Siku chache baada Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika juu ya hali ilivyokuwa katika Shule ya Msingi Nsololo kuhusu kuezuliwa kwa paa katika moja ya majengo ambapo hali hiyo ya jengo kutokuwa na...
LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu...
Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia. Maneno ya waliwahi kulitumia yanaweza kukuamiza sana
Kila utakapopita nalo, utakutana na watu...
Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na...
Wale wau ambao kila kitu kizuri kikitokea wanaishia kusema ni kwa sababu Mama Samia anaupiga mwingi, kuna wakati hizo sifa kwa raisi zitawatokea puani na kumuumbua sana raisi wetu.
Juzi hapa...
Kuna habari ya kuamsha shauku ya wapenda simulizi za kiuchunguzi na kijasusi zinazunguka huko ulimwenguni baada ya Raisi D.Trump kusaini amri ya kuruhusu kabrasha (files) za uchunguzi kesi ya...
Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk.
Akizungumza na waandishi wa...