Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna yule rafiki yako aliyefariki aliacha familia. Vipi umewaza kwenda siku moja kumcheck mkewe. kuwapelekea wake japo NGUO ZA SIKUKUU au ZA SHULE Au ndo tokea hile siku alivyofariki urafiki...
20 Reactions
30 Replies
1K Views
Disclaimer: Uzi huu ni mawazo ya mwandishi pekee na wala hauna nia ya kuharibu biashara yoyote ya mtu bali kuelezea jamii kuhusu hatari ya kemikali katika vyakula Katika pitapita zangu nilikwenda...
1 Reactions
22 Replies
980 Views
Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki. Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu...
3 Reactions
4 Replies
838 Views
Evening!!! Nahitaji kuchonga kabati la jikoni fundi wangu anashindwa kufanya vipimo vyake kwasababu ya hiki kitu"ovena iliyounganika na jiko Ina vipimo gani Yani urefu na upana!!" Msaada tafadhari...
2 Reactions
8 Replies
628 Views
Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa...
0 Reactions
2 Replies
664 Views
Eid Mubarak WanaJF. Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku. Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Huu mwezi kumetokea matukio mengi kwa Walimu na wanafunzi, Walimu wakitoa vipigo vikali sana kwa wanafunzi, wanafunzi wakipokea ngumi chembe kidevu, ngumi za macho, fimbo 50. Sikatai wanafunzi...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Wasalamu! Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale. Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Habarini, Hili jambo linanitatiza sana,sana iwapo wafuasi wa yesu wanaoa na kuolewa kupitia kwa mapadri na masister inakuwaje wenyewe mapadri na masister wasioe ma wasiolewe? Kila kiungo cha...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
It's another beautiful day, another beautiful thread! Mimi ni Davidmmarista, na leo tunakuja na Uzi mzito wa kutikisa akili! Uchawi upo ama ni hadithi tu? Leo tunachambua matukio halisi 12...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Eti wakuu, kwani si bora wangeirefusha reli ya kati kutoka Kigoma (au pahala pengine pa karibu zaidi) mpaka Uganda kuliko kuchimba bomba la gharama kubwa kiasi kile. Mafuta yakiisha Uganda hilo...
1 Reactions
25 Replies
914 Views
Hawa jamaa ni kama wamepotea ghafla. Au wamekula Ban?
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Hivi vyote havina uhai na vimewekwa makanisani na misikitini je siyo masanamu kama waliyokuwa wanayaabudu WAASISI WA KIAFRIKA?
1 Reactions
1 Replies
194 Views
Habarini, Hili nalo linafikirisha sana MWAFRIKA,unaenda kusujudia kabuli la yesu na muhamadi na kuacha kusujudia makaburi ya WAZAZI/WAASISI ambao ni BIBI na BABU zako yanayokuzunguka na ulio na...
4 Reactions
17 Replies
676 Views
Kijana wa Kitanzania 1. Akioa/Kuolewa mnamchangia 2. Akifa/Akifiwa mnamchangia 3. HBD yake ikifika mnamchangia 4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia Lakini Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni wakati wako MWAFRIKA kujikomboa KIFIKRA wewe mwenyewe kwani mkoloni hana muda tena wa kupoteza kurudi kukuondolea ujinga aliokulisha kwani ilikuwa ni kwa ajili ya mipango yake ya kukutawala na...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Habari wanajamvi, wakubwa shikamoni. Naomba msaada wa vitabu vya cryptocurrency.
0 Reactions
7 Replies
527 Views
Duru za kuaminika zikimuhusisha jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara wa vilevi pamoja na nyama ya nguruwe(kitimoto) maeneo ya misufini huko morogoro , Zinadai Leo biashara ya kitimoto...
2 Reactions
10 Replies
576 Views
Wakina Baba na mama ,kaka na dada pamoja na watoto wakiwepo ndugu na jamaa hujumuika katika sikukuu mbalimbali za kidini ( ukristo na uislamu) kama desturi zao za kusherekea kila mwaka...
2 Reactions
4 Replies
356 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…