Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wamefikia wapi na mwakilishi wetu ambaye amechukua nafasi ambayo alitakiwa kuwa nayo Mpambanaji Dr. Ndugulile? Uchaguzi unafanyika lini?
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Kumekuwa na ubabaishaji sana kuhusu suala la kufungua barabara ya kwa Makombe hadi Jerusalem, ambayo imefungw na mtu mmoja anayeitwa Jose ph dhidi ya wanaichi zaidi 30 wanao itegemea barabara...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Nimeikuta mahali hii klipu, natumai itafaa sisi wazee.
4 Reactions
2 Replies
331 Views
Kupanga bajeti ya matumizi ya fedha unazopata inaweza kuwa msamiati kwa baadhi ya vijana na watu wazima wanafanya harakati za maisha mijini na vijijini, hasa wale wanaotegemea malipo ya mshahara...
2 Reactions
2 Replies
532 Views
Kuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa. Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Hospitali Teule ya Mugana iliyopo wilayani Misenyi mkoani Kagera imeibuka mshindi katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2024 kwa upande wa hospitali za wilaya. Nafasi ya pili...
0 Reactions
3 Replies
555 Views
Jeshi la polisi mkoa wa Geita limepiga marufuku watendaji kuanzisha vituo vya polisi katika ofisi za kata bila kuwa na vibali kutoka serikalini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamshna Msaidizi...
1 Reactions
0 Replies
447 Views
Sio kila mtu anaweza kusoma taarifa ya habari.Leo msomaji wa news hq saa 12 asubuhi kasoma vibaya sana,matamshi mabaya sana,kashindwa kutumia nukta,comma na anahema na kumeza mate kwa sauti. Na...
4 Reactions
17 Replies
785 Views
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma ya umeme kwenye migodi yao ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji, kukuza uchumi wao na...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Watu waliokuwa wananifanyia figisu kazini mwaka 2014 mpaka 2018, nikikutana nao Kariakoo au pahala pengine, wananichangamkia na kuniambia "Karibu nyumbani utusalimie siku moja" Sasa ninajiuliza...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea. Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
7 Replies
777 Views
Kelele zimekuwa nyingi mtandaoni kuhusu majeshi yetu kuonesha yanakiuka katiba na kuivunja Kwa kuzuia mikutano,kuteka na hata kutesa wananchi ambao majeshi yetu yana jukumu la kuwalinda. Lakini...
1 Reactions
3 Replies
305 Views
Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Miaka hii wasanii hawaumizi tena vichwa kuimba nyimbo za kuelimisha wamejikita kuimba nyimbo za burudani tu lakini bado si rafiki kwa vizazi vyetu. Wanaimba nyimbo wanachanganya wa dini na...
7 Reactions
11 Replies
620 Views
Juzi niliandika hapa JF taarifa kuhusu maji taka yaliyokuwa yakitiririka eneo la Posta barabara inayotokea Kanisa la KKKT kuelekea Karimjee ambayo yalikuwa yanatoka katika chemba zilizokuwa...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Mwanzoni wakati kampuni inaanzishwa kilitengenezwa kinywaji cha limao(lemon) mmiliki Charles Leiper Grigg akatoa kazi kuwa anatafuta jina la kipekee na linalo vutia macho ya watu kwaajili ya...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
Zingatia T1 ndiyo barabara kongwe na inaanzia Dar Es Salaam mpaka Tunduma Border na kwajina lingine huitwa (TANZAM) T1 ➡️ Dar es Salaam – Morogoro – Mbeya – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
MKEO AU MCHUMBA AKIKUACHA HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ili mwanamke asikusumbue kuna kanuni nyingi lazima uzijue na uzitumie. Mojawapo ya Kanuni hizo 1. Demand...
29 Reactions
41 Replies
2K Views
Watu 17 wanadhaniwa kuwa maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (MPOX) mkoani mara, Akizungumzia suala hilo Mganga Mkuu wa Mkoa Zabron Masatu, amesema tayari watu hao wako katika vituo vya afya...
1 Reactions
5 Replies
484 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…