Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiwa mchambuzi au mtafakari unaanza kupata kupata picha tokea kupata uhuru kuwa sisi ushenzi ulianza ndani tokea uhuru. Wale washenzi mfano wa mobutu seseko hapa kwetu wapo ndani ya chama tawala...
1 Reactions
2 Replies
334 Views
Hii dunia imethibitika kabisa kuwa Ina rasilimali za kutosha kuwawezesha watu wote duniani kula, kusoma, kutibiwa, kutalii, kujenga/kupanga na kufurahia maisha. Bahati mbaya sana, ubinafsi...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Wazee basi, Jana katika Harakati nikiwa nimeenda kwenye sherehe mshikaji alikua anaoa Sherehe, ilifana sana basi kama kawaida nikawa napiga zangu bia meza yetu ilkua ni kreti la safari larger na...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Waambie watoto wako ukweli! Waambie yote yalianza huko Misri (Ustaarabu wa hali ya juu, sayansi, hesabu, falsafa, dini, usanifu). Waambie Wamisri wa kwanza walikuwa weusi, hakuna uhusiano wowote...
2 Reactions
6 Replies
487 Views
Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona...
18 Reactions
86 Replies
4K Views
Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya...
1 Reactions
4 Replies
404 Views
Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Ni nadra sana kuona mwanajeshi wa Tanzania kapiga picha na kuitupia mtandaoni akiwa na vazi la jeshi . Si kwa maafisa au kwa maaskari. Hii adabu si kwa JWTZ tu hata polisi, magereza, fire and...
5 Reactions
10 Replies
778 Views
Kuna hitaji kubwa la damu hasa group O kwa majeruhi wa Gmboto. Fika kituo cha Muhimbili, ukonga mzambarauni, na msimbazi kuchangia. DONATE BLOOD SAVE LIVES.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika Hali isiyo ya kawaida wakulima wa zao la chai wilayani Rungwe mkoani Mbeya hawajalipwa fedha zao ambazo kwa kawaida hulipwa Kila mwezi, halafu imekuwa ni kawaida Yao wamiliki wa viwanda...
0 Reactions
7 Replies
493 Views
Kuna mwanafunzi wa chuo aliomba pesa nyumbani kwao akanunue nguo alichojibiwa ni kwamba semester iliyopita alipewa hela ya nguo semester hii hawampi. Nachokiona Mimi tunakosea kununua nguo nyingi...
2 Reactions
9 Replies
360 Views
Mnaua kiumbe kilichoanza uhai ndani ya mfuko huo ambapo ndipo haki yake ilipo. Usitoe uhai kwa maana tu uliteleza Usitoe uhai kwa sababu unajisikiaga raha ukiwa haujavaa kondomu. ABORTION IS...
7 Reactions
6 Replies
511 Views
COMEDY ZA NDUGU ZANGU ACT. Kwanza moja ya maombi makubwa ya ACT ni Chadema asishiriki uchaguzi, hii itampa nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani na Zitto kuwa KB automatically. Hivyo Chadema...
3 Reactions
5 Replies
438 Views
Tangu usiku hadi mchana huu hapa Mtwara kunanyesha mvua kubwa sana ambayo kwa watu waishio kwenye maeneo hatarishi kama mabondeni, kwenye maporomoko, mikondo ya maji na hata nyumba mbovu huenda...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Habarini, Hili linatakiwa lifanyiwe kazi kwa utambulisho wa vitu,watu na ,mitaa,miji,nk. yafaa yaondolewe kwani hayana nguvu yoyote mbele Mungu wa wote Majina ni ALAMA kuu ya UTU na ASILI wa MTU.
3 Reactions
8 Replies
507 Views
Habari zenu wapendwa? Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina dada yangu ambaye mimi nilikuwa namuheshimu sana kutokana na kwamba nilizaliwa peke yangu sina Dada, kaka wala wazazi hivyo nikaona...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
guest-1787677877
Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…